Bado tabia ya bodaboda inapotekea ajali kujichukulia maamuzi

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,605
8,734
Bado nazidi kukazia maneno ya nabii lema kuhusu hawa bodaboda.
Sijui wanachuki gani na wenye magari wawe wamekosea au wajakosea wao ujiona ni watu special sana.

wamechoma bus la saibaba huko tanga.
Hii nimoja ya bodaboda kufanya matukio haya hata kusababisha mauaji kama ikitokea ajali inayohusu bodaboda.
JESHI LA POLISI
Fanye ili njia kila eneo vilipo vijiwe vyao ndio wawe wawajibikaji linapotokea tukio linalohusisha wao.
Ili kupunguza matukio haya,mbona mliweza kuwanyoosha dar pale tiptop waliochoma mwendo kasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom