Serikali imeshindwa kutatua kero na matatizo yatokanayo na bodaboda na Bajaj nchini!

Wanaotaka bodaboda zipigwe marufuku njia kuu na katikati ya jiji.

  • Wanaotaka wapigwe marufuku

    Votes: 3 75.0%
  • Wasiotaka wapigwe marufuku

    Votes: 0 0.0%
  • wasiojua

    Votes: 1 25.0%

  • Total voters
    4

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,327
24,209
1710234760314.png

1710234909716.png

1710235180704.png

Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto.

Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya udhibiti kisheria kama Polisi, ni kama wako paralysed kutatua matatizo ya vyombo hivi.

Wanasiasa kwa kutoelewa wamechukulia huduma ya bajaj na bodaboda kuwa mtaji wa kisiasa, na hata Rais Samia amediriki kuwaita ati ni maafisa usafirishaji.

Mimi sipingi kuweo kwao usafiri huu, bali nakomalia UDHIBITI wa huduma yao.

Matatizo makubwa yako hivi
1. Hawafuati sheria za barabarani tena wote, bodaboda na bajaj
2 wanapakia abiria kupita uwezo wa chombo
3. Bodaboda hawavai safety helmets, viatu na jackets
4. Bajaj na bodaboda chafu kuruhusiwa kungia katikati ya Jiji
5.Vyomb hivyo kuendeshwa kwa spidi kubwa katikati ya Jiji
6. Polisi hawana uwezo wa kuwachukulia hatua yoyote, hata wakifanya kosa mbele ya pua zao
7. Bodaboda kupakia kama abiria hata watoto wadogo sana wasio na uwezo kujishikilia
8. Bodaboda au bajaj ku overtake kushoto mwa gari iliyoko mbele yake
9. Baja na bodaboda kuendesha kinyume ya maelekezo ya barabara, yaani nchi hii ni Left Hand Drive, utaona wao wanakuja mbele yako wakiendesha Right Hand Drive.
10 Baja na bodaboda kuendesha hata sehemu za waenda kwa miguu.

Haya ni machache tunayoyaona kwa hawa maafisa safirishaji wa kisiasa.
Matokeo yake, kukiuka sheria za barabarani kwa makusudi kabisa, nenda MOI Muhimbili na kushuhudia miguu inayokatwa kila siku.

SERIKALI amkeni, mnatuletea janga la wananchi vilema.
Polisi wanaweza kulishughulikia tatizo hilo, kama serikali ikiondoa ganzi iliyowapiga kisiasa kuwaachia hawa watu waendelee kuua/kujiua barabarani.

NB
Shiriki kura hapo juu
 
Sisi watumiaji wa bodaboda hatufiki mjini bila bodaboda

USSR
 
Bodaboda ni mtaji wa wanasiasa hawa watu wapo barabarani Kwa nguvu ya mwanasiasa..
Kwa mfano Leo serikali inaweza kutangaza hatua Kali dhidi ya bodaboda utashangaa kesho wanaibuka wanasiasa wa chama kingine wakipinga huku wakijifanya wapo pamoja bodaboda, hii ni nchi ya kifala Sana

Ukitaka heshima barabarani uwe na gari kubwa yenye ngao hapo bodaboda wote watapita mbali na wewe
 
Wanasiasa wantuletea kero barabarani!
Halfu wao wanpita na ving'ora li tuwapishe.
 
View attachment 2932559
View attachment 2932562
View attachment 2932565

Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto.

Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya udhibiti kisheria kama Polisi, ni kama wako paralysed kutatua matatizo ya vyombo hivi.

Wanasiasa kwa kutoelewa wamechukulia huduma ya bajaj na bodaboda kuwa mtaji wa kisiasa, na hata Rais Samia amediriki kuwaita ati ni maafisa usafirishaji.

Mimi sipingi kuweo kwao usafiri huu, bali nakomalia UDHIBITI wa huduma yao.

Matatizo makubwa yako hivi
1. Hawafuati sheria za barabarani tena wote, bodaboda na bajaj
2 wanapakia abiria kupita uwezo wa chombo
3. Bodaboda hawavai safety helmets, viatu na jackets
4. Bajaj na bodaboda chafu kuruhusiwa kungia katikati ya Jiji
5.Vyomb hivyo kuendeshwa kwa spidi kubwa katikati ya Jiji
6. Polisi hawana uwezo wa kuwachukulia hatua yoyote, hata wakifanya kosa mbele ya pua zao
7. Bodaboda kupakia kama abiria hata watoto wadogo sana wasio na uwezo kujishikilia
8. Bodaboda au bajaj ku overtake kushoto mwa gari iliyoko mbele yake
9. Baja na bodaboda kuendesha kinyume ya maelekezo ya barabara, yaani nchi hii ni Left Hand Drive, utaona wao wanakuja mbele yako wakiendesha Right Hand Drive.
10 Baja na bodaboda kuendesha hata sehemu za waenda kwa miguu.

Haya ni machache tunayoyaona kwa hawa maafisa safirishaji wa kisiasa.
Matokeo yake, kukiuka sheria za barabarani kwa makusudi kabisa, nenda MOI Muhimbili na kushuhudia miguu inayokatwa kila siku.

SERIKALI amkeni, mnatuletea janga la wananchi vilema.
Polisi wanaweza kulishughulikia tatizo hilo, kama serikali ikiondoa ganzi iliyowapiga kisiasa kuwaachia hawa watu waendelee kuua/kujiua barabarani.
Binafsi sina tu mamlaka.
Lkn ningepiga marufuku kabisa uwepo wa hizo kero.
Wanasababisha foleni zisizo za lazima, wana matusi, hawana adabu, kwa ujumla ni kundi lisilofaa kabisa kuwepo ktk jamii
 
Hata Mimi ningekuwa na mamlaka kitu cha Kwanza kupiga marufuku ni bodaboda
 
Binafsi sina tu mamlaka.
Lkn ningepiga marufuku kabisa uwepo wa hizo kero.
Wanasababisha foleni zisizo za lazima, wana matusi, hawana adabu, kwa ujumla ni kundi lisilofaa kabisa kuwepo ktk jamii
Hawa wanasiasa hawajui tu kuwa wantukwaza sana.
 
Back
Top Bottom