Chagueni Bodaboda mnaowajua kuepusha matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Katika jitihada za kuzuia na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto nchini, wazazi na walezi wametakiwa kufanya uchaguzi sahihi na kuwatambua bodaboda wanaowapeleka watoto wao shule ili kuepuka vitendo hivyo.

Rai hiyo imetolewa Februari 22, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP THEOPISTA MALLYA, wakati akitoa elimu kwa wanafunzi wa shule ya Msingi "QUEEN OF THE APOSTLES" iliyopo Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.

IMG_20240222_181338.jpg
 
Haohao wanaofamika ndiyo wanashutumiwa kuwanyanyasa kijinsia watoto.
Malezi yamekua changamoto sana.
 
Back
Top Bottom