Bodaboda anaomba Muongozo anahisi kuna Mazingaombwe

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Screenshot_20240319-201647.jpg

Kuna Jamaa Nambebaga Kwenye Bodaboda kumpeleka Kazini daily Aliniambia Analipwa 500K Kajenga Na Ana Mke Na Watoto Wawili Anasomesha Bording Hivi Inawezekanaje?
 
Mwambie aache kuchungulia tenk la mafuta pindi mafuta yanapoisha.wengi wengi mshasema na nabii lema
Alafu nyie si ndio wafuasi wa ccm
 
Asishangae siku akaenda Kariakoo katika lile Jengo, akamuona Fundi Simu anamiliki Range na BMW
 
Back
Top Bottom