Kumeanza kuchangamka.
Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.
Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.
Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.
Kisiwa chetu cha amani...
Kazi ya kuanza kuwasafirisha Askari wa Tanzania nje ya nchi itaanza siku si nyingi.
Wataenda kusema kila kitu kilichotokea October 29, wapi Watu walifukiwa na vitisho vyote walivyopewa.
Leo Mzee Wassira ameropoka, mpango wao waliokaa wakajadili. According to yeye watawatafuta baadhi yenu na akasisistiza "Tusiwe tunafuga nyoka ndani" hili sio neno la Gen-Z.
Tarehe 29 kuna Askari walioambatana na Waandamanaji wakisubiri kama Wakuu wa baadhi ya Kambi wataingiwa na Ujasiri...
CCM...
Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ (jeshi namba 6 kwa ubora duniani) akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka.
Baada ya kuinuka alimtembezea...
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu, amethibitisha kwamba Binti Pendo Paul aliyedai kupewa kazi ya kumuua Mbunge Mpina hakuwa Askari wa JWTZ kama alivyojitambulisha bali alikuwa amepitia mafunzo ya Mgambo zaidi sikiliza Video hii.
https://youtu.be/gTzupuaYy7c?si=_wUYi4xRIAVxOMpi
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60
Mbowe amelishukuru Jeshi kwa Weredi na Uzalendo wake Kwa Miaka 60 sasa
Shukrani za Mbowe kazitoa Ukurasani X
Mungu wa mbinguni awabariki JWTZ 🌹
======
Hongera kwa @jwtz_tz kwa kutimiza miaka 60 ya kujitolea na...
Dereva wa basi la Saratoga linalofanya safari kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Yasini Shabani (45), ameshambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwilini na Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), anayejulikana kwa jina la Emmanuel Peleka baada ya basi hilo kulipita gari la JWTZ katika...
Habari zenu ndugu,
Kutoka Dar, askari wa JWTZ apandishwa Kizimbani Kwa Kukaidi Amri Halali ya Askari Trafiki wakati akitekeleza Wajibu wake.
Hii safi sana, lazima ieleweke kwamba utii wa Sheria bila shurti ni Kwa Kila raia bila kujali hadhi wala vyeo.
Askari Jeshi hasa JKT mara nyingi Huwa...
"Kuna mtu alishawahi kuomba lift kwenye Difenda hakupewa? Kwanini wanapanda watuhumiwa tu?
Kwa mfano Difenda linakwenda Bunju, Tegeta, Kunduchu, Kitunda au Mwanagati, Kivule analiona kabisa limeandikwa Polisi na wewe unakwenda maeneo hayo kwanini usilisimamishe ukaomba lift?
Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.
Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".
Kwa utovu huu wa nidhamu...
Hello!
Ilikuwa miaka ya 1997-1999, kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo.
Kulikuwa na gulio la mazao (korosho) katika viwanja vya magereza Liwale-Lindi.
Sasa huyo jamaa wa JWTZ alikuja likizo kuwasalimia wazazi na ndugu. Naye akaenda gulioni kusaidia wazazi kupima korosho.
Yule mjeda alitumia...
Habari zenu wanaJF?
Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi), lakini dunia ina mambo mengi, mpaka sasa nimeshindwa kutimiza ndoto hiyo.
Nimeajiriwa lakini sina furaha, why? Kwasababu nafanya kitu ambacho hakipo moyoni mwangu.
Kwasasa nina umri wa miaka 29, kwa umri...
Matukio mengi sana yanayofanywa na askari wa JWTZ wanaojichukulia sheria mkononi kwa kupiga raia na kuwasabibishai vifo na ulemavu kwa sababu za labda kuibiwa mali au kukosana na raia yanaporipotiwa polisi mara nyingi huwa hawachukuliwi sheria au hatua stahiki. Hii ni kwa sababu ya kulindwa na...
Kwa ambaye anamfahamu SSGT Ruta alikuwa Msata amejiua kwenye kaburi la mke wake ambaye alifariki siku ya Jumamosi huko Kilakala kaacha ujumbe kuwa alikuwa anampenda mke wake.
========
Dar es Salaam. Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Reginald Ruta amekutwa amekufa huku mwili wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.