Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,567
50,393
Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.

Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".

Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.

View attachment 2482212
Hujui walianzia wapi hii video ni fupi! kwanza TRAFIKI anakosa adabu kibishana na mtu aliyemzidi cheo mbele ya RAIA
 
Lugha za kijeshi hizo hata samia ana jina la mnyama, wapo faru, tembo, poongo na huyo dogo mjeshi ni paka anampa mkwara panya!

Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Naomba popote ukiona jwtz muwanunulie bia
Kama ndio kanuni basi upuuzi mtupu huu. Nchi haiwezi kupiga hatua kwa kuingiliana majukumu. Kila mtu abaki na section yake. Huyo JWTZ asulubiwe kama watumishi wengine ili kujenga nidhamu na heshima kwa wafanyakazi wengine bila kujali cheo alichonacho. Kwasababu mfano hapo ikitokea ajali lawama kwa askari wa usalama barabarani wakati kumbe kuna mpuuzi mmoja kwasababu et ni JWTZ.
 
Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.

Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".

Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.

View attachment 2482212
Wewe kama nani sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.

Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".

Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.

View attachment 2482212
Sasa umeridhika mwenzako kupoteza kazi.Huyo alilewa tu.Sasa subiri aanze kutumia taaluma ya kijeshi kutafuta Pesa atajuta kwanini hamkuvumilia Matusi
 
Police wana lugha mbaya sana, waonevu sana na sio waelewa. wengi wanawaza rushwa tu muda wote na hata wakati mwingine kwa watu wanaofanya nao kazi huwa hawawaheshimu. kifupi polisi huwa sio wa kuwaamini, wote hata kama ni mtoto wako usimwamini,ni mtu anawea kukuchinjia baharini anytime. ndio maana wengi huwa hawaumii moyo kama polisi akitukanwa namna hii. wanaona poa tu. ni kutokana na matendo yao. ni tofauti kabisa na polisi wa mamtoni.
 
Lkn ktk hili polisi kaonewa.
 
Back
Top Bottom