Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi)

Ngumbaru

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
338
450
Habari zenu wanaJF?

Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi), lakini dunia ina mambo mengi, mpaka sasa nimeshindwa kutimiza ndoto hiyo.

Nimeajiriwa lakini sina furaha, why? Kwasababu nafanya kitu ambacho hakipo moyoni mwangu.

Kwasasa nina umri wa miaka 29, kwa umri huu nilionao niachane na hii ndoto ya kuwa askari?

Au bado inawezekana kutimiza ndoto yangu?
 
Dah kwa standard za sasa you are bit late. But kama ulipitia jkt au wakihutaji watu wa kada fulani unaweza bahatika kwa hiyo age.
 
Tanzania kuna watu ambao walipenda kutumikia Jeshi lao (JWTZ) ila wengi wao ndoto zao zimegonga mwamba ama kwa kukutana na watu wasio na uzalendo kusaidia vijana hao kutimiza ndoto zao na kuhitaji rushwa.

Mimi hadi kesho najua ni mwanajeshi wa JWTZ japo juhudi za kujiunga na jeshi ziligonga mwamba kwangu pia ila ninachoamini mimi ni mwanajeshi wao.
 
Ndoto ambayo inanipa unyongofu muda wote,(uigizaji filam) ndio naamini kama nitaifanya nitalizika na maisha
 
Tanzania kuna watu ambao walipenda kutumikia Jeshi lao (JWTZ) ila wengi wao ndoto zao zimegonga mwamba ama kwa kukutana na watu wasio na uzalendo kusaidia vijana hao kutimiza ndoto zao na kuhitaji rushwa.

Mimi hadi kesho najua ni mwanajeshi wa JWTZ japo juhudi za kujiunga na jeshi ziligonga mwamba kwangu pia ila ninachoamini mimi ni mwanajeshi wao.
 
Dah kwa standard za sasa you are bit late. But kama ulipitia jkt au wakihutaji watu wa kada fulani unaweza bahatika kwa hiyo age.
Yeah, sometimes hata mimi nahisi hivyo (kuwa nimechelewa). Ila hii kitu inanitesa sana, tena usiombe nikutane na askari wa JWTZ wakiwa kwenye sare zao, huwa nawaangalia mpaka najishtukia.
 
Tanzania kuna watu ambao walipenda kutumikia Jeshi lao (JWTZ) ila wengi wao ndoto zao zimegonga mwamba ama kwa kukutana na watu wasio na uzalendo kusaidia vijana hao kutimiza ndoto zao na kuhitaji rushwa.

Mimi hadi kesho najua ni mwanajeshi wa JWTZ japo juhudi za kujiunga na jeshi ziligonga mwamba kwangu pia ila ninachoamini mimi ni mwanajeshi wao.
Unajiona wewe ni askari kihisia, sio? Lakini hii inaweza kupelekea watu wakahisi hauko sawasawa kwa kichwa, yaani kitendo cha kujichukulia wewe ni mwanajeshi wakati ni raia wa kawaida.
 
Yeah, sometimes hata mimi nahisi hivyo (kuwa nimechelewa). Ila hii kitu inanitesa sana, tena usiombe nikutane na askari wa JWTZ wakiwa kwenye sare zao, huwa nawaangalia mpaka najishtukia.
Dont cross 31 man.. ukivuka hiyo focus shughuli mingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom