Muliro: Msiogope kuomba lifti kwenye Difenda

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,568
1676355861473.png

"Kuna mtu alishawahi kuomba lift kwenye Difenda hakupewa? Kwanini wanapanda watuhumiwa tu?

Kwa mfano Difenda linakwenda Bunju, Tegeta, Kunduchu, Kitunda au Mwanagati, Kivule analiona kabisa limeandikwa Polisi na wewe unakwenda maeneo hayo kwanini usilisimamishe ukaomba lift?
 
Wazo zuri Sana. Kwa kuongezea nilikuwa napendekeza pia mfunge Bluetooth speaker ili

1. Watuhumiwa na maaskari wawe wanaburudika wakati wa mizunguko,
2. Mtuhumiwa kuingia cell bila msongo wa mawazo, hii itarahisisha hata kutoa maelezo akili ikiwa imetulia..

Imagine umefungulia reggae au amapiano 😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom