amsifia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cannabis

    Steve Nyerere afanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu, amsifia kwa kuondoa tatizo la umeme, reli ya kisasa

    Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
  2. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, Mei 25, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, leo Mei 25, 2023. Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemshukuru Rais Samia kwa kuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufika eneo...
  3. benzemah

    Rais Samia awainua Mbowe na Lipumba kwenye baraza la Eid, amsifia Mbowe kupendeza kwa kanzu

    Akizungumza katika Baraza la Eid El Fitri katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Rais wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha na kuyaishi maono yake ya kuwa na Tanzania moja isiyogawanywa kwa misingi ya kisiasa Kabla ya kuanza...
  4. MALCOM LUMUMBA

    DONALD TRUMP AMSIFIA RAISI VLADMIR PUTIN KWA ALICHOFANYA NCHINI UKRAINE.

    Ukweli mchungu ambao wengi wetu hatupendi kuusikia ni kwamba Raisi Vladmir Putin ni moja kati ya binadamu wenye akili mno. Tutabishana sana lakini uhalisia wa kihistoria umetuthibitishia hilo. Nafahamu wengi watasema Urusi inajificha nyuma ya mgongo wa silaha za kinyuklia, lakini mbona Urusi...
  5. S

    Trump amsifia Putin kuwa ni 'Genius' kwa namna alivyoingia Ukraine

    Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius). Trump akaendelea kusema kuwa Putin anaenda ingia ndani ya Ukraine na kuwa mlinda amani..."hilo ni jeshi imara zaidi la...
  6. John Haramba

    Lusinde amjia juu Polepole, amsifia Bashiru, ni kuhusu wanaotaka Urais wa Samia

    Nukuu za aliyoyazungumza Mbunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde, leo Jumatatu Februari 7, 2022: "Sikiri kuwa, kuna makundi yanayoutaka urais kwa maana wanasubiri ratiba kugombea, bali kuna makundi haramu yanayotaka kugombea urais 2025 ambao wanaanza mapema kabla ya wakati, mimi kundi...
  7. Frumence M Kyauke

    Harmonize: Natumaini urafiki wangu na Kajala Masanja utarejea

    Hivi majuzi mwanamuziki Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize alizindua albamu yake ya pili 'High School'. Staa huyo wa Bongo alitumia ukurasa wake wa Instagram kufafanulia mashabiki wake maana ya nyimbo ishirini zilizo kwenye albamu yake mpya. Harmonize alisema wimbo nambari saba katika...
  8. Display Name

    Hadhara Charles Mjeje: Mwanamke Mtanzania aliyesifiwa na Donald Trump kwa umahiri wa kuchezea mpira

    ==== (CNN) — Tanzania rarely features in discussions of Africa's soccer hotspots. But that perception might be changing thanks to the skills of soccer freestyle queen Hadhara Charles, which are winning plaudits from celebrities across the world including US President Donald Trump. A viral...
Back
Top Bottom