Kajala Masanja is an actress and film star in Tanzania. She celebrates her birthday on 22nd July each year. She won the 2016 EATV (East Africa Television) award for actress. She is married to former banker Faraji Chambo.She appeared in the 2012 film Kijiji Cha Tambua Haki with Steven Kanumba. She is the subject of industry gossip. She was at the funeral of Agnes Masogange in 2018.She was in Basilisa (2011) and Jeraha la Moyo (2012).The Daily Nation reported in November 2015 that she had fallen out with former friend Wema Sepetu.
Eti una mpenzi ambae ukiwa nae unakua na AMANI SANA? Kama hujawahi pemda huwezi muelewa, Yani Kuna ile unakua na mpenzi ambae Yani hata kama una Nuka jasho, huja piga mswaki, Yani unakua na AMANI SANA na una ona kawaida acheni tu kataa ndoa, na mashoga mtupishe kidogo,
Kwa nini unarudiana na...
Mwigizaji mashuhuri wa filamu nchini, Kajala Masanja, amefunguka kuhusu sababu zinazomfanya arejee kwenye mahusiano na msanii wa muziki wa Bongo Flava, Rajab Abdul Kahali 'Harmonize', kila wanapotengana. Kajala ameeleza kuwa utulivu na amani anayoyapata akiwa na msanii huyo ndivyo vitu vikuu...
Paula Kajala amethibitisha rasmi kuwa mama yake, Kajala Masanja, amefunga kikamilifu ukurasa wa mahusiano na msanii wa muziki wa Bongo Flava, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize, na kwamba hakuna uwezekano wowote wa wawili hao kurudiana tena.
Akiyafichua hayo kupitia mazungumzo na...
Nabii Genoveva, anayejitambulisha kama mtumishi wa Mungu, ametoa ujumbe mzito wa kiroho akidai kuwa mwigizaji na mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania, Fridah Kajala (Kajala Masanja), yuko katika hatari ya kupoteza maisha muda si mrefu iwapo hatatubu madhambi yake na kutengeneza mfumo wa...
Muigizaji na mfanyabiashara maarufu nchini, Kajala Masanja, amefunguka kuhusu hisia za hofu alizozipata pale binti yake, Paula, aliposhika ujauzito.
Katika mahojiano kupitia kipindi cha mtandaoni cha A list, yaliyowekwa hewani katikati ya Septemba 2026 , Kajala alieleza kuwa alipatwa na woga...
Tena linapo kuja swala la furaha ya kweli ukiwa maarufu huwa inakuwa kama impossible hivi maana ile external facade ambayo watu wanakuona nayo nje zinakupa false sense of accomplishment.
Na wanawake wengi huwa na maisha ya kuigiza sana, ni kwa sababu huwa wanakuwa manipulated by emotions...
"napitia kipindi kigumu sana, Sina furaha yoyote kwenye maisha yangu, usiku silali nawaza furaha naitoa wapi kama wengine, sometimes watu wakiniona nje wana hisi ni mtu mwenye furaha ila ukweli ni kwamba nateseka sana Paula ndo anaelewa.
Mara watu wakuseme hivi mara vile, mara umri umeenda huna...
"Kwa Sasa kuna muda naamka asubuhi nime vimba kichwa, mara naamka upande mmoja wa mwili wangu hauna nguvu, nimeenda hospital dakitari kaniambia nina dalili zote za Kupalalaiz Kuna mishipa haifanyi kazi, namuwaza sana mwanangu nitamuachaje.
Lakini watu hawajali napitia nini wananihukumu tu Kila...
Mchambuzi na mtangazaji wa burudani Mwijaku amemlipua vikali Kajala Masanja kufuatia mahojiano yake mapya ambapo alizungumzia tetesi za mwanaye Paula kuchangia ("kushare") penzi na msanii Harmonize. Mwijaku amemlaumu Kajala kwa kuruhusu mazungumzo hayo kuruka hewani, akimtuhumu kwa kutafuta kiki...
Sakata la kale limeibuka upya na kuchafua mitandao ya kijamii nchini kufuatia madai mazito kwamba staa wa Bongo Fleva, Harmonize, alianza uhusiano wa kimapenzi na Paula kabla ya kuhamia na kufanya mapenzi na mama yake, Kajala Masanja. Zogo hili jipya limezuka baada ya video ya mahojiano ya...
Kama kuna bibi wa ovyo nchini ,Kajala yumo,anaulizwa kuwani kiungo gani kwenyemwili wake anakipenda zaidi anajibu eti makalio yake.
P Funky ana roho ngumu sana,enzi za ujana wake kakimbiza sana wasanii na bastola pale studio kwake nilidhani angezeekana ukorofi,ila amekuwa mpole anaugulia...
Mr Pimbi ameeleza uma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni sabini ili warudiane
Ameenda mbali na kusema kuwa Kajala alitaka kulipwa milioni mia moja lakini baada ya negotiation dau la Harmonize likaishia milioni sabini, hii ni dhahiri kuwa Harmonize anaendekeza sana chini bila kufahamu kuwa...
Hongera sana my young brother Marioo kwa kupata mama mkwe wa maana sana. Mama mkwe mwenye jina lake mjini. Mama mkwe hana baya na mtu. Mama mkwe akifa haozi.
Dear Kajala, There's a very very bright future "behind your back"
Waswahili wanasema ngoja inyeshe tuone panapovuja 🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani mmakonde kaka nalo moyoniiii weeee mwisho wa siku kaona hataaa ngoja alitoe tu .
Kuna kipindi Kajala alikuwa karibu mno na body trainer Denzel , na ndicho kipindi hicho hicho penzi lake na Kajala lilivunjika bila kutupa sababu ya...
Kajala na Jonas wanajisumbua tu kujificha na penzi lao la wizi wizi .
Hilo penzi lao watu tunalijua kitambo wenyewe eti wanadhani wanafanya siri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu mbaya zaidi Kajala alianza ku date na Mkude kipindi ambacho yupo na Harmonize ,halafu sasa Harmonize na Mkude walikuwa ni mabest ...
Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same thing, alimpa Harmo password zake zote yani kulikuwa hakuna siri kati yako. Hapo mwishoni ndiyo Harmo...
Guys, msione Kajala anaandika magazeti hapo as if yeye ndo kamuacha Harmonize. It's the opposite, this time Harmonize ndio kamuacha Kajala...
Just kuwapa short story ya event ya mwisho kabisa. Show ya mwisho ya Harmonize, Harmonize alikuwa anaongea na simu, yani very busy kwenye simu. Kajala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.