Search results

  1. P

    Serikali kubana matumizi napo tunasubiri Benki ya Dunia (WB) ituambie? Hatuwezi kuona tunakokwenda?

    Hali ni mbaya sana mitaani na anayebisha akapimwe akili, kwa sasa, wapo wananchi wanaoshindia mkate wa bakhalesa, wapo ambao siku inaweza kupita bila kula kabisa, nina uhakika na hilo, na katika hilo, niseme kwamba, hakuna nchi yenye watu wavumilivu kama Watanzania, si kwenye mambo ya kisiasa...
  2. P

    #COVID19 Mimi naona Rais Samia anadanganywa kuhusu takwimu za waliochanjwa!

    Kupitia ziara aliyoifanya Mh Raisi ya kutembelea mkoa wa Pwani hususani (W) ya Bagamoyo Baada ya kupewa nafasi ya kusalimia wananchi na kusema mahitaji ya Wana Bagamoyo, Mh Mbunge wa Jimbo hilo la Bagamoyo, Takwimu alizotoa Mh mbunge wa Bagamoyo bwana Mkenge ni za kupikwa, kwamba, (W) ya...
  3. P

    Rais Hakainde Hichilema amuapisha askari aliyemtendea wema akiwa gerezani kuwa naibu kamishna wa Magereza

    Njia ya Mungu ni fumbo RAIS HAKAINDE HICHILEMA AMUAPISHA ASKARI ALIYEMTENDEA WEMA AKIWA GEREZANI KUWA NAIBU KAMISHNA WA MAGEREZA. KUNA SOMO LA KUJIFUNZA Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ameteua Bwana Kuyomba Bwalya kuwa Naibu Kamishna Jenerali wa magereza "Zambia Correction Service"...
  4. P

    Uwezo wa watu kufikiri na kutenda; Je, huwa unaendana na nchi aliyopo?

    Je, Uwezo wa mtu kufikiri na kutenda, unaendana na nchi aliyopo? Kuna mambo ukiyatafakari saana, unaweza kuona kwamba, uhusiano kati ya mtu uwezo wake wa kufikiri na kutenda kunatokana na nchi aliyopo,kuna nchi zina watu wasomi, ambapo mambo yao huendeshwa kitaalamu na kiuweledi wa kutosha...
  5. P

    CHADEMA wakumbushwe: Mungu si mfuasi wa vyama na hana kadi ya chama

    Mandiko yanasema, Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, Hivi mandiko yanaposema hivyo huwa inamaanisha nini? Mambo yanayohitaji utumie nguvu zako kuyakabili na inawezekana kufanya hivyo, fanya, yale yanayohitajika kuyafanya kutumia akili zako na upo upenyo wa aina hiyo fanya, Mungu ni...
  6. P

    Nawezaje kuonana na Mwigulu Nchemba?

    Ningependa tu kuonana na Mh Mbunge Mwigulu Nchemba. Nimetumia jina la Mh Mbunge kwa sababu inakuwa rahisi kuweza kumuona tofauti na Waziri, kwa maana jina la Uwaziri linamajukumu mengi Nahisi nikikutana naye nitatimiza furaha yangu ya moyo wangu na ujumbe wangu atausikia na kuutendea kazi...
  7. P

    TRA na TANESCO wanajua kwamba Nyumba ni chache kuliko idadi ya mita za Luku?

    Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na shirika la umeme nchini Tanesco, kesho tarehe 20 wataanza kulipisha kodi za nyumba kwa mfumo wa luku Kwanza ninahakika, hili limekuja baada ya serikali kukosa namna ya kuwabana wamiliki wa majengo ili kuyalipia Na pia ninahakika, Sheria...
Back
Top Bottom