Search results

  1. M

    Little poem for the oppressors

    Attention Mr Babylon we got questions. We need answers. Attention Mr western we got questions. We need answers. Godaem answers nothing but answers straight straight answers. Answers answer us now! Why everyday you keep telling us nonsense? You keep telling us you wanna help us. But what we see...
  2. M

    Peace in Africa tune.

    To be totally independent and sufficient Africa, must have peace b'cause wars bring chaos and Babylon thieving interference, cause destructions, poverty and starvation! Tell and teach the children peace and one love in Africa. https://www.n1m.com/masitlambo/song/1002605-Peace-in-Africa-instrumental
  3. M

    France theft and evilness

    France is somewhere I will never even think of going even if I was rich and famous because of the historical facts like this, It's colonial history is worse brutal than all colonists and still robbing Africa, one of the worse racist country in Europe.- Former French President, Jacques Chirac...
  4. M

    Nashangaa wanawasonga tu hawa 19 yule mmoja wamemgwaya? Alisema Spika Ndugai

    Akizungumza baada ya kuwaapisha wabunge wateule, Spika Ndugai amekemea vikali watu wanaodharau shughuli zinazofanywa na Bunge la Tanzania. "Wako rafiki zetu ambao hivi karibuni wamejipambanua kwa kukejeli shughuli za bunge, niwatahadharishe na kuwakumbusha labda wamesahau kuwa ni jambo...
  5. M

    BBC Swahili: Karibu Wakenya milioni 2.6 tayari wana virusi vya corona

    Karibu Wakenya milioni 2.6 tayari wana virusi vya corona, wanasayansi wameeleza baada ya kupima damu iliyotolewa kwa ajili ya protini inayotumika kwenye mfumo kinga. Protini hiyo (antibody) hutengenezwa na mwili kwa ajili ya kushambulia virusi na bakteria, na uwepo wake kwenye damu unaashiria...
  6. M

    UK Gov't confirms Covid-19 harmless to vast majority of people

    This Could be a reason why Tanzanians don't catch it as much, fake results must be the reason why other countries have so much positive cases. UK Gov't confirms Covid19 harmless to VAST MAJORITY of people.
  7. M

    Vyama vya upinzani vina Wabunge wasomi wa kuunda baraza la Mawaziri?

    Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua. Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake. Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na...
  8. M

    All races were created were belong to, we were never all black Africans

    Just like German and Russian historians, I totally disagree all humans were blacks and from Africa, it is a pure lie without base, by so called scientists but are psychotics searching for fame and money. The same scientists now claim Pharaohs leaders were aliens just to discredit Africans, but...
  9. M

    Wananchi wote wasifiwe kwa kujilinda na korona, Mungu ashukuriwe inaisha.

    Sasa naamini Mungu anailinda Tanzania na korona, lakini pia sababu sisi ni wasafi sana kuhusu pua na mdomo, tunakinyaa cha vyote kutoka puani na mdomoni. Yaani dunia nzima inavyoogopa korona na bado kuipata kwa wingi zaidi, pamoja na lockdown zao kali za hata kuuwa wananchi wasiofuata sheria...
  10. M

    France former president on how religion and slavery killed African culture and wealth

    "We bled Africa for four and a half centuries. We looted their raw materials, then we told lies that the Africans are good for nothing. In the name of religion, we destroyed their culture. And after being made rich at their expense, we now steal their brains through miseducation and propaganda...
  11. M

    Kwanini mfumo wetu wa siasa uwe sawa na wa wakoloni?

    Tulilazimishwa kufuata siasa ya vyama vingi ili tugombanie madaraka na kugawanyika na kuzuia maendeleo hata kusababisha vita. Kwa nini lazima tufuate siasa za Ulaya, kwani siye hatuwezi kujiongoza na mifumo yetu wenyewe? Mbona hawawasumbui Waarabu na ufalme wao? Kwa nini marais wetu...
  12. M

    Kenya: Polisi washutumiwa kuwaua watu 15 kiholela

    Kenya: Polisi washutumiwa kuwaua watu 15 kiholela Mamlaka inayoangazia utendakazi wa polisi nchini Kenya IPOA, Jumatano ilisema kwamba Wakenya wapatao 15 wameuawa na polisi katika taifa hilo la Afrika Mashariki katika kipindi hiki ambacho kumewekwa marufuku ya kutoka nje usiku, kati ya masharti...
  13. M

    Kenya acha wizi wa mlima Kilimanjaro, tumeamua kukuumbua

    Bila aibu kwa miaka mingi sana sasa, Wakenya wana watangazia wazungu na wote duniani mlima Kilimanjaro upo Kenya. Wazungu wote waliodanganywa hivyo wamechukia sana baada ya kuwalazimu kulipia viza za nchi mbili na kupoteza muda mwingi na pesa zao. Huu ni ushenzi wa kijinga na wivu mkubwa...
  14. M

    Lissu. Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako?

    Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako? Acha kutufanya wajinga, hufai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji na uongo wako kutufanya wajinga. Wadanganye mafala sio wote, you can fool some people sometimes not all never all the time
  15. M

    Misaada ya barakoa yapigwa marufuku kwenye Shule na Vyuo Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigella amepiga marufuku misaada ya barakoa kwa shule na vyuo Mkoani mwake. Akiongea wilayani Lushoto katika kikao cha tathmini ya elimu Bw Shigella akapiga marufuku misaada ya barakoa kutoka nje ya nchi, na badala yake misaada ya aina hiyo ipelekwe Wizara ya...
  16. M

    Wakenya wasiofika TZ wanapenda sana kutuponda na kutulinganisha, ukweli upo kwenye post

    ‎Edos de Alkaida‎ to SHILAWADU EXCLUSIVE by hamzaj4
  17. M

    Nakubali busara za Rais Magufuli dhidi ya lockdown iliyosababisha Ulaya kukoma njaa kutaka kujiua

    Kuna wanaofikiri kukosoa ni kuchukia, lakini wanaojua siasa za kweli wanajua kukosoa ni kujenga, hasa kama unakosoa kujenga sio kubomoa. Pia, kwenye siasa kuna kusifia pia, hivyo leo namsifu rais wetu, sio kwamba mie ni CCM, in fact sina chama, ila mwananchi na rais ni wa nchi nzima sio chama...
  18. M

    Coronavirus could 'burn out naturally' so vaccine not needed, former WHO director claims

    Coronavirus could 'burn out naturally' so vaccine not needed, former WHO director claims - Dominic James/Dominic James Coronavirus could "burn out naturally" so a vaccine is no longer needed, a former World Health Organisation director has claimed, as the Government announces it is dedicating...
Back
Top Bottom