Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
Kuna wanaofikiri kukosoa ni kuchukia, lakini wanaojua siasa za kweli wanajua kukosoa ni kujenga, hasa kama unakosoa kujenga sio kubomoa. Pia, kwenye siasa kuna kusifia pia, hivyo leo namsifu rais wetu, sio kwamba mie ni CCM, in fact sina chama, ila mwananchi na rais ni wa nchi nzima sio chama.
Nakili nilikosea kumkosoa Rais Magufuli juu ya lockdown, nchi nyingi za Ulaya sasa zinalia njaa kali na baadhi yao wamepata matatizo ya akili na kutaka kujiua kwa sababu ya lockdown.
Ingawaje Rais amewapotosha watu kufikiri korona imeisha, kazuia kupima kama nchi nyingine zinavyofanya, uamuzi wake dhidi ya lockdown unatia maana sasa. Nchi nyingi zipata tabu kurudisha uchumi lakini siye tutahinili kirahisi zaidi.