Vyama vya upinzani vina Wabunge wasomi wa kuunda baraza la Mawaziri?

Masi Lambo

JF-Expert Member
Apr 8, 2020
524
500
Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.

Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.

Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?

Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,109
2,000
Waziri wa madini toka upinzani atakayelinda thamani ya madini wanaochimba wachimbaji wadogo na wakubwa Tanzania , kutokana wa uelewa wa kina jinsi soko la madini linavyofanya kazi ulimwenguni katika majiji ya Brussels, New York , Bangkok, Tel Aviv , Johannesburg, Paris n.k

LEMA AKOSOA VIKALI UNUNUZI WA TANZANITE YA LAIZER

Bangkok, Thailand
Gazeti la Bangkok Post lasema :
Laizer amepata pesa kiduchu angestahili kupata maradufu :

Jewellers Le Vian, which during the 1980s and 1990s acquired half the entire production of Tanzanite, said the amount paid to Laizer was only a fraction of its retail value.

"While the $3 million paid to the miner has undoubtedly changed his life forever, it is only a twentieth of the potential retail value of the gemstones he discovered," said chief executive Eddie LeVian in a statement.. source : Miner becomes millionaire after finding biggest tanzanite stones

New York city, USA
https://www.nytimes.com › tanz...
Tanzanite, 50 Years Later - The New York Times

10 May 2018 · Tanzanite, introduced by Tiffany in 1968, was featured in the Mille et ... new Paper Flower collections introduced in the United States....

KADA THOMAS MUNISI KADA WA CCM THOMAS MUNISI ADAI NI 'CHUKI '"TU KTK MAPENDEKEZO NA USHAURI MBADALA ULIOPO KATIKA MITANDAO, ATOA UFAFANUZI WATOLEWA KWA WALIOSEMA BILIONEA LAIZER KAPUNJWA "NI UPOTOSHAJI,NI PESA KIDOGO
 
kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,266
2,000
Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.

Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.

Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na manaibu wake?

Tujuzane kama wasomi na wastaarabu hata kama sio wasomi.
Kaka inaonekana unaishi nje ya nchi..Kukusaidia tu vyama vya upinzani vina watu wenye sifa zaidi ya uzitakazo na pengine hata kuzidi hata chama tawala na ndio maana Rais ameshindwa kuvumilia na kuamua na kuanza kuteuwa mawaziri kutoka vyama vya upinzani baada ya kutambua kuwa viongozi bora wapo upinzani mifano michache Mollel (Maliasili) na yule Mlevi Waitara (sijui wizara gani kwa sasa)
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
21,481
2,000
Waziri wa madini toka upinzani atakayelinda thamani ya madini wanaochimba wachimbaji wadogo na wakubwa Tanzania , kutokana wa uelewa wa kina jinsi soko la madini linavyofanya kazi ulimwenguni Brussels, New York , Bangkok, Tel Aviv , Johannesburg, Paris n.k

LEMA AKOSOA VIKALI UNUNUZI WA TANZANITE YA LAIZER

Gazeti la Bangkok Post lasema :
Laizer amepata pesa kiduchu angestahili kupata maradufu :

Jewellers Le Vian, which during the 1980s and 1990s acquired half the entire production of Tanzanite, said the amount paid to Laizer was only a fraction of its retail value.

"While the $3 million paid to the miner has undoubtedly changed his life forever, it is only a twentieth of the potential retail value of the gemstones he discovered," said chief executive Eddie LeVian in a statement.. source : Miner becomes millionaire after finding biggest tanzanite stones
wapinzani walipinga ujenzi wa ukuta ambao sote tumeona mafaniikio yake.

walikuwa wakipinga uboreshwaji wa mikataba ya madini, sote tumeona manufaa ya Barick Gold/ Accacia tena mtia nia wa Urais akadiriki kututisha kuwa tukijaribu kuwagusa tutajikuta MIGA.
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
5,781
2,000
Kaka inaonekana unaishi nje ya nchi..Kukusaidia tu vyama vya upinzani vina watu wenye sifa zaidi ya uzitakazo na pengine hata kuzidi hata chama tawala na ndio maana Rais ameshindwa kuvumilia na kuamua na kuanza kuteuwa mawaziri kutoka vyama vya upinzani baada ya kutambua kuwa viongozi bora wapo upinzani mifano michache Mollel (Maliasili) na yule Mlevi Waitara (sijui wizara gani kwa sasa)
Kwahiyo unamaanisha Msigwa, Sugu, Prof. Jay, Kubenea, Lema ndio wenye uwezo mkubwa! Ahahahah! Basi kwa CCM watawaongeza Musukuma na Kibajaj!
 
mhuri25

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
1,615
2,000
Viwapatie wapi mkuu Kama Special seats wao Ni michepuko ya alietereza akavunja mguu Huoni tatizo mkuu!?
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,109
2,000
wapinzani walipinga ujenzi wa ukuta ambao sote tumeona mafaniikio yake.

walikuwa wakipinga uboreshwaji wa mikataba ya madini, sote tumeona manufaa ya Barick Gold/ Accacia tena mtia nia wa Urais akadiriki kututisha kuwa tukijaribu kuwagusa tutajikuta MIGA.
Soko la madini ya Tanzanite kwa ujumla thamani ya bei yake imeteremka kutokana na kukurupuka kwa serikali ya CCM Mpya kuipa thamani ndogo kitofali cha madini ya Mzee Laizer.

Sasa mchimbaji mdogo akipata vito vya gramu chache za Tanzanite ataambulia pesa kiduchu kutokana na sera za CCM Mpya kutafuta kiki za kisiasa ktk sekta ya madini.

Wanasiasa wa CCM Mpya wameporomosha bei ya korosho, bei ya tanzanite, bei ya ufuta na mbaazi... . Masuala haya hayatakiwi kuamuliwa na wanasiasa wasiojua kwa undani na kina wa soko la zao linalohusika linavyokwenda ktk soko la dunia.
 
mr chopa

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
4,683
2,000
Waziri wa madini toka upinzani atakayelinda thamani ya madini wanaochimba wachimbaji wadogo na wakubwa Tanzania , kutokana wa uelewa wa kina jinsi soko la madini linavyofanya kazi ulimwenguni katika majiji ya Brussels, New York , Bangkok, Tel Aviv , Johannesburg, Paris n.k

LEMA AKOSOA VIKALI UNUNUZI WA TANZANITE YA LAIZER

Bangkok, Thailand
Gazeti la Bangkok Post lasema :
Laizer amepata pesa kiduchu angestahili kupata maradufu :

Jewellers Le Vian, which during the 1980s and 1990s acquired half the entire production of Tanzanite, said the amount paid to Laizer was only a fraction of its retail value.

"While the $3 million paid to the miner has undoubtedly changed his life forever, it is only a twentieth of the potential retail value of the gemstones he discovered," said chief executive Eddie LeVian in a statement.. source : Miner becomes millionaire after finding biggest tanzanite stones
Lema labda awe waziri wa kuiba magari maana ndio professional yake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom