Search results

  1. N

    Kuna nafasi hazijawahi kutwaliwa na wanawake, Makamu mwenyekiti CCM na Katibu mkuu CCM, kwanini?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sijawahi kusikia makamu mwenyekiti ccm mwanamke, pia Katibu mkuu ccm mwananmke. Tumeona makamu wa rais mwanamke na akawa rais ki bahati bahati tu. Hizo nafasi haziwezi kutwaliwa na mwanamke huko ccm? vipi katibu mkuu ccm haiwezekani akapewa mwanamke pia...
  2. N

    Rais hashtakiwi popote akiwa Madarakani na hata akitoka, kwanini anaapishwa?

    Naomba kuelewa, nini maana ya kiapo cha Rais aingiapo madarakani? Hashitakiwi akiwa madarakani na hashitakiwi akitoka madarakani. Kwanini anaapa au anaapishwa? Kinga aliyonayo ni kubwa sioni sababu ya kiapo cha Rais.
  3. N

    Yale majimbo ambayo ccm walipita bila kupingwa, wananchi bado mnatakiwa mjitokeze kupimgia kura Tundu Lissu

    Yale majimbo ambayo ccm wamejipa ushindi, wananchi October 28, 2020 nendeni mkampigie kura Tundu Lisu Kwasababu ccm tayari wameshajipa ushindi, hawachaguliki Kumbukeni wao watateuana na ndio utamaduni wao Tundu Lisu anaomba kura zenu, msije ziharibu kwa kuwapigia ccm ambao wamesha shinda...
  4. N

    Uchaguzi 2020 Walioshinda kura za maoni na kukatwa, msikubali ujinga huu

    Ulikuwa mshindi halali kura za maoni lakini watawala wa juu wakakukata jina lako na kumuweka mtu wanayemtaka. Kisha mliokatwa mkaambiwa muwapigie kampeni hawa mahasimu wenu kwa ahadi kwamba mmeshafanyiwa vetting mtateuliwa kwenye nafasi zingine. Kataeni ujinga huo, yani aliyekukata usigombee...
  5. N

    Msiwabeze walioacha kazi za kuteuliwa wakaenda kutafuta za kuchaguliwa

    Kazi za kuteuliwa zinamanyanyaso sana, yani ukijigeuza kidogo unatishwa kutumbuliwa, ukikohoa kidogo unanyooshewa kidole. Yani ukiteuliwa unakuwa na ma boss weeengi, aliyekuteua, na viongozi wote wa ccm na hata wengine sio viongozi lakini hukunyooshea vidole. Inafikia wakati hata kufanya...
  6. N

    Biashara ya hisa Tanzania, faida inapatikana?

    Nimeshawishiwa ni wekeze kwenye hisa, naambiwa hii ndio future. Wale mliowekeza huko, future mmeisha iona? Je, ni mahala sahihi kuwekeza?
  7. N

    Vyama 11 vya upinzani visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania, vimetangaza kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Hivi ndio vile UMD, NRA, CCK, SAU ,TADEA, PONA, DP na vingine. Hivi ndio mikoa ya ccm, wao ndio huibeba ccm kila CHADEMA inapokataa kushiriki. Nakumbuka waliitwa diamond jubilee baada ya uchaguzi wa 2015 kukubali matokeo baada ya CHADEMA kuyagomea. Imetokea tena, leo wanatoa tamko la pamoja...
  8. N

    Wakili msomi Kaneirugaba Msemakweli aliishia wapi na kesi ya wenye PhD feki?

    Huyu mtu alikuwa na list ndefu sana ya watu aliowataka kuthibitisha PhD zao. Ile kesi iliyeyuka au aliambiwa aiondoe? Alikomaa na Dr. Mary Nagu, Dr. Nchimbi na wengine wengi, alikuwa na kitabu kabisa, Au naye alipigwa pini akasimamishwa kuwa wakili?
  9. N

    Senti zimepotea kwenye circulation ya pesa. Tatizo ni nini?

    Swali langu nimeshindwa kuliframe vizuri. Nilitaka kufahamu hapo zamani tulikuwa na senti zinazunguka kwenye circulation ya pesa huku mitaani, lakini ghafla zilipotea, na sifahamu ni kwanini. Nchi zingine hata walio tutawala bado wanatumia hizo senti, ukienda Ulaya yote, hata Marekani kuna...
  10. N

    Hizi kumbukizi za Mwl Nyerere kila mchangiaji anakosoa utawala huu, Kwanini sasa?

    Yani hizi kumbukizi kila mchangiaji anakosoa utawala uliopo, kwani hizi kumbukizi za Mwl Nyerere mwaka huu zimekuwa a umaarufu kuliko miaka iliyopita? Wanasema unakumbuka chakula njaa inapouma, sasa hivi watu wamekosa demokrasia wamemkumbuka mwl Nyerere. Je, kwanini wasimseme tu moja kwa moja...
  11. N

    Zoezi la kujiandikisha, nashauri watu wafuatwe majumbani kama Serikali inataka kufanikiwa, badala ya kuwasubiria watu kwenye vituo

    Serikali iikitaka ifanikiwe kwenye hili la kujiandikisha kupiga kura, inabidi waaandikishaji wawafuate wananchi majumbani mwao. Hili la kuwasubiria vituo vilivyopendekezwa na tume limeshindwa. Wakati wa sensa ya watu na makazi huwa serikali hufanya hivi, kwanini wakati huu wasifanye hivyo hivyo?
  12. N

    Wakiingia madarakani, wananchi tunageuka kuwa maadui zao, na wanajilinda dhidi yetu, kwanini?

    Hawa watawala waajabu sana, wanatoka miongoni mwetu, lakini wakiishaanza kutawala sisi ndiyo tunakuwa maaadui zao wanalindwa dhidi yetu. Huu uadui huwa unaanza lini na kwanini iwe hivyo?! Wanakuja kwetu wanalindwa kwa bunduki za moto, hawataki kuwa karibu na watawaliwa, eti wanahofia usalama...
  13. N

    Historia inasema CIA walikuwa wakiondoa viongozi madikteta na waliweka viongozi wa kidemokrasia, zama hizi wanashindwa wapi?!

    Mnisaidie tafakuri hii, zama hizi hawa CIA, wanashindwa wapi, vipi na kwanini wamekuwa tofauti na huko miaka ya nyuma, tulisoma jinsi walivyokuwa wakiondoa makandokando nchi zetu hizi, juzi juzi walifanikiwa Iraq, na hata Libya, lakini Syria wanaelekea kukwama, huku kusini mwa jangwa la sahara...
  14. N

    Serikali inamiliki Majengo ya Balozi za nje nchini au kila nchi hujenga yake?

    Nauliza balozi za nje nchini majengo humilikiwa na serikali au kila nchi yenye ofisi ya ubalozi na makazi ya mabalozi na maofisa wake, hujenga majengo yao wenyewe ?! Nilisikia serikali ikizishawishi balozi za nchi za nje kuhamia Dodoma, na wametengewa maeneo. Kwa hapa Dar as Salaam nchi hizo...
  15. N

    Kwanini wana CHADEMA mnaumizwa na migogoro ndani ya CCM?!

    Inanishangaza CCM wanachafuana na kutifuana, lakini wafuasi wa CHADEMA wanaonekana kutetea makundi ndani ya CCM. Kwanini CHADEMA mnaonekana mnaumizwa na madhila ya adui wenu. Unaenda mwezi sasa hakuna uzi wa CHADEMA, bali CHADEMA wameingia CCM ndani na kupigania CCM. Huko nyuma ilikuwa chadema...
  16. N

    Serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar mbona haijazi nafasi ya makamu wa kwanza wa rais?!

    Tangu ingie madarakani hiyo serikali ya Dr.Shein imesita au kushindwa kuijaza nafasi ya makamu wa kwanza wa rais. Tatizo nini na uchaguzi wa marudio ulifanyika na wapinzani waliowataka walishiriki, kwanini hawampi mpinzani aliyeongoza wenzake kwa Kura kushika wadhifa huo?! Katiba inapo kuwa...
  17. N

    Nimeamini kwamba Sumaye ana nia ya kweli ndani ya CHADEMA.

    Kafanyiwa visa na vituko lakini bado alitoka na kusema hadharani kwamba hatorudi CCM. Tumemuona Lowasa akitangaza kurudi ccm mchana kweupee, lakini Sumaye hakutetereka, anatikiswa lakini kakataa kutikisika ni wakati sasa watu kumuamini na kumpa heshima ndani ya chama. Binafsi naona huyu...
  18. N

    Rais Magufuli amewahi kuwa Mbunge, na Waziri pia huko nyuma. Sikuwahi kuusikia mchango wake wowote Bungeni, je kuna mwenye kukumbuka mchango wake?!

    Siku hizi kawa muongeaji kweli, na kuonekana kujua mambo sana, lakini hukusikia akichangia bungeni na michango yake sidhani kama kuna aliyewahi kuisikia. Ni kwamba sasa ndio kapata platform nzuri au sasa ndio kaanza kufahamu dhana ya uwakilishi?! Nakili binafsi sikuwahi kumsikia akichangia...
  19. N

    Vyama vya Upinzani wange iunga mkono ACT kule Zanzibar

    Ili kuiondoa ccm, vyama vinge concentrate kuing'oa ccm Zanzibar kwanza kwa kuwa support ACT, iking'oka Zanzibar huku bara ni rahisi sana. Zanzibar ni kichaka cha ccm miaka nenda rudi. Wakiondolewa kule huku watapumulia mashine muda mfupi na mwishowe wataondoka. Lakini sijui kama hawa watu wa...
  20. N

    Sera ya Kuachina majimbo ya wana UKAWA iliifufua CUF bara, sio Maalim wala Lipumba

    Baada ya ukawa kuundwa walikubaliana vyama wanachama viachiane majimbo, na hii mliona hata Lowassa na Duni haji kugombea urais kwa tiketi ya chadema, na mliona kura walizopata Lowasa na Duni kwenye uchaguzi ule. Isingekuwa Sera ya kuachiana majimbo CUF bara isinge ambulia hata jimbo moja maana...
Back
Top Bottom