Biashara ya hisa Tanzania, faida inapatikana?

Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
8,511
10,986
Nimeshawishiwa ni wekeze kwenye hisa, naambiwa hii ndio future.
Wale mliowekeza huko, future mmeisha iona? Je, ni mahala sahihi kuwekeza?
 
Kibongobongo Hisa ni pasua kichwa.

Ili angalau upate kijifaida inakubidi labda:

"Ununue Hisa Nyingi Kwenye Makampuni Sahihi Na uwe tayari kuzishikiria kwa muda mrefu"
 
Hisa ni uwekezaji unaotaka vitu viwili
1. Timing
2. Subira

Kama wewe ni mtu unayehitaji pesa chapchap, basi ni lazima uwe mtu a timing na kwenye biashara ya hisa hii huitwa shorting yaani unauza shares pale zinapoanza kuporomoka, yaani the moment curve inapoanza kudrop. Pia unanunua pale zinapoanza kupanda.

Mfano mzuri, wajanja wanaziangalia sana shares za CRDB. Kuna kila dalili zitafikia tamati ya kuporomoka na kutakuwa na some sort ya Bailout kutoka serikalini, hapo ndiyo unatakiwa uzinyakue. Ila kwa sasa tunaangalia tu.

Kama wewe ni mtu wa subira, nunua hisa halafu subiri. Ila lazima uangalie hisa zenyewe. Kama kampuni inapata faida na stock ipo stable mfano TCC unaacha tu hela ipumzike.

Kwa Tanzania, inalipa ila inabidi ue mwangalifu.
 
Inategemea, cha msingi hakikisha unawekeza hela unayoweza ku-afford kupoteza.
Kwa maelezo yako sioni tofauti na wanao beti mipira na mechi za ligi ya sportpesa.
Sasa kwa nini kwa mantiki hiyo hii biashara ya hisa isihamishiwe huku kwa Abas Tarimba, ili tujue ni mchezo wa kubahatisha?!
 
Hisa ni uwekezaji unaotaka vitu viwili
1. Timing
2. Subira

Kama wewe ni mtu unayehitaji pesa chapchap, basi ni lazima uwe mtu a timing na kwenye biashara ya hisa hii huitwa shorting yaani unauza shares pale zinapoanza kuporomoka, yaani the moment curve inapoanza kudrop. Pia unanunua pale zinapoanza kupanda.
Mfano mzuri, wajanja wanaziangalia sana shares za CRDB. Kuna kila dalili zitafikia tamati ya kuporomoka na kutakuwa na some sort ya Bailout kutoka serikalini, hapo ndiyo unatakiwa uzinyakue. Ila kwa sasa tunaangalia tu.

Kama wewe ni mtu wa subira, nunua hisa halafu subiri. Ila lazima uangalie hisa zenyewe. Kama kampuni inapata faida na stock ipo stable mfano TCC unaacha tu hela ipumzike.

Kwa Tanzania, inalipa ila inabidi ue mwangalifu.
Subira hii unayoiongelea ni muda gani 5 au 10 years au usubiri tu?! Kama zanashuka hadi kuwa bailed na serikali, kwanini ni ninunue, faida itapatikani lini, serikali wanapo bail out au wakati gani?!

Umewahi kupata dividend tangu uanze au umewahi kuuza hisa zikakupa faida?!
Mi naona kama mchezo wa kubahatisha tu.

Ni jinsi gani naweza kununua Bonds za makampuni badala ya hisa?
 
Kibongobongo Hisa ni pasua kichwa.

Ili angalau upate kijifaida inakubidi labda:

"Ununue Hisa Nyingi Kwenye Makampuni Sahihi Na uwe tayari kuzishikiria kwa muda mrefu"
Hahaha kampuni sahihi ni ipi na nyingi ni kiasi gani, wanatoa dividend kiasi gani per share kwa frequency ipi, mara moja kwa mwaka au mara mbili?

Usawa huu pesa nyingi unaitoa wapi?!

Biashara zinasuasua, benki wanakula maintenance fee na hawataki kutoa interest ili angalau tugawane hasara, wao kila mwezi unaona wanakata tu.

Huku kwenye hisa naambiwa lazima uwe na elimu ya kutosha, sasa hata sielewi.
 
Subira hii unayoiongelea ni muda gani 5 au 10 years au usubiri tu?! Kama zanashuka hadi kuwa bailed na serikali, kwanini ni ninunue, faida itapatikani lini, serikali wanapo bail out au wakati gani?!

Umewahi kupata dividend tangu uanze au umewahi kuuza hisa zikakupa faida?!
Mi naona kama mchezo wa kubahatisha tu.

Ni jinsi gani naweza kununua Bonds za makampuni badala ya hisa?
Mwaka 2013 tulirithi hisa 100,000 za CRDB na zilikuwa na thamani ya milioni 18.5 jumlisha dividends ambazo silikuwa za miaka miwili. Dividend za CRDB zilikuwa kama shs 3 mpaka 5 kwa share moja kwa mwaka tuliiclaim dividwnds tukapata kama laki nane hizo ni dividends na CRDB wanatoa kila mwaka.

Niliuza mwaka 2015 baada ya uchaguzi kwa bei ya 440 kwa share na tukapata milioni 44 .

Sasa hivi tunavyozungumza, thamani yake ni milioni 13. Na nafikiria kununua na kutulia kwa 5 yrs na najua zitapanda bei kwa sababu nahisi kama zimefika chini mno na benki kama CRDB ni too big to fail.

Hizo za CRDB zilifika hadi sh 500 kwa share moja ila tuliuza zilipoanza kuanguka na hazijapanda mpaka leo. Hapo tulipata karibu milioni 24 katika miaka miwili.
 
Duh bless your heart, hii biashara ina siri nyingi au ni game nisilolijua tu.
 
Gawio unapata ila thamani ya hisa. Yaani ukitaka kuziuza unakula hasara kwa sababu bei imeshuka, due to low demand.
Ahaa okay, yani thamani yake sasa iko chini ya ile mliyo nunulia kama nimekuelewa?!
 
Hisa ni investment sio dairy income Business, muwekezaji Nzuri ni anayewekeza kwa malengo ya 5 years-10 years na zaidi.

Ili ufanikiwe kutengeneza utajiri kwenye Hisa usiwekeze kwenye Giant Company fanya research ya Startup company ambayo kwa prediction itakuja kuwa Giant baadae hizi Startup za nje ya nchi ndio Nzuri zaidi chukua Hisa leo kwenye Startup Hold for 5-10 years ikija kuwa Giant miaka 8 baadae inakuwa na wewe ila ufanye upembuzi yakinifu kupata determined Startup watu wa investment na technology wanaweza kukujuza.
 
Back
Top Bottom