Wakili msomi Kaneirugaba Msemakweli aliishia wapi na kesi ya wenye PhD feki?

Yeye hana shida alichoandika aliandika na ni ukweli. Waliolalamika kudhalilishwa aliwaambia waende mahakamani.

Wachache walioenda mahakamani hata kesi hawakuziendeleza. Kainerugaba yupo anaandikia gazeti fulani la Kiingereza hapa nchini.

Ni kweli enzi zile elimu fake ilitamalaki sana. Kuanzia bachelors, masters mpaka doctorates fake. Asante JPM hio haitatokea kwa sasa!
Huyu mtu alikuwa na list ndefu sana ya watu aliowataka kuthibitisha PhD zao.

Ile kesi iliyeyuka au aliambiwa aiondoe?!

Alikomaa, na Dr.Mary Nagu, na Dr.Nchimbi na wengine wengi, alikuwa na kitabu kabisa, au Naye alipigwa pini akasimamishwa kuwa wakili?
 
Hizo feki zipo private.

Hata serikalini alipunguza tu lakini zipo nyingi tu.

Kuna watu nawafahamu mpaka leo wapo serikalini.
 
Huyu mtu alikuwa na list ndefu sana ya watu aliowataka kuthibitisha PhD zao.

Ile kesi iliyeyuka au aliambiwa aiondoe?!

Alikomaa, na Dr.Mary Nagu, na Dr.Nchimbi na wengine wengi, alikuwa na kitabu kabisa, au Naye alipigwa pini akasimamishwa kuwa wakili?
Dr wakweli Tanzania hapa ni wale wa muhimbili ama wanaoendelea kuaomea taaluma hizo..Labda na yakikwete
 
Yeye hana shida alichoandika aliandika na ni ukweli. Waliolalamika kudhalilishwa aliwaambia waende mahakamani.

Wachache walioenda mahakamani hata kesi hawakuziendeleza. Kainerugaba yupo anaandikia gazeti fulani la Kiingereza hapa nchini.

Ni kweli enzi zile elimu fake ilitamalaki sana. Kuanzia bachelors, masters mpaka doctorates fake. Asante JPM hio haitatokea kwa sasa!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom