Yale majimbo ambayo ccm walipita bila kupingwa, wananchi bado mnatakiwa mjitokeze kupimgia kura Tundu Lissu

Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
8,501
10,969
Yale majimbo ambayo ccm wamejipa ushindi, wananchi October 28, 2020 nendeni mkampigie kura Tundu Lisu

Kwasababu ccm tayari wameshajipa ushindi, hawachaguliki

Kumbukeni wao watateuana na ndio utamaduni wao

Tundu Lisu anaomba kura zenu, msije ziharibu kwa kuwapigia ccm ambao wamesha shinda, mnapaswa kuwapigia wagombea wa chadema ambao wao wanazihitaji sana kura zenu

Kamchagueni Tundu Lisu na madiwani wa chadema
 
Kapigeni kura za hasira kwa kunyimwa haki zenu za kuwachagua wabunge.
Kuna wanaodhani kwamba kwasababu ccm wameshashinda basi hawatapiga kura, nawaambia lazima wampigie kura Tundu Lisu hiyo siku.
 
Back
Top Bottom