Search results

  1. Said Stuard Shily

    Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

    Ama kwà hakika Mpirà ni mchezo wa wazi,hauna longolongo kwà watu wanaoamini Mpirà ni sayansi. Ni wiki sasa tangu ule upande wa MAJINI FC ushinde goli zao nne na kupelekea benchi zima la ufundi likiongozwa na msemaji wao Ally Komwe kuzimia na kulazwa Hospitali ya Mwananyamala 8kutokana na...
  2. Said Stuard Shily

    Simba Mkataeni Ramadan Kayoko kuna siku atawaumiza pakub

    Anashiriki kupoteza muda kwà kushirikiana na Timu pinzani,Anatoa kadi ovyo kwà wachezaji wa Simba,Faulo za Simba hazioni,Anawakoromea wachezaji wa Simba hata kama wanadai haki yao.Kifupi Kayoko hana hadhi ya kuchezesha ligi kuu labda ndondo cup ambako nako anaweza kuambulia kichapo amenikera...
  3. Said Stuard Shily

    Clatous Chota Chama atua Kigoma na Dege la kukodi

    Ama kwà hakika hayawi hayawi yamekuwa,jana majira ya Mchana nguli la soka la Moira wa Miguu mwamba wa Lusaka mara baada ya kumaliza mapumziko yake kutokana na kuiwakilisha Nchi yake katika mashindano ya AFCON huko Ivory Coast. Sasa wapenzi wa Simba tuna uhakika Timu yetu itashinda mechi ya leo...
  4. Said Stuard Shily

    Mechi Kati ya Yanga vs Al Merreik ni Kagame Cup

    Hàbari za Jumapili wapendwa. Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee...
  5. Said Stuard Shily

    Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

    Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa...
  6. Said Stuard Shily

    Yamebaki masaa 24 Mashabiki wa Simba tuwe na furaha

    Mungu ni mkubwa najua anaenda kujibu maombi yetu mashabiki wa SIMBA pale tutakapo shuhudia marefa makini wakichezesha mechi ya UTOPOLO na Club Africans,tunajua haki itandeka kwenye hiyo mechi ni suala la muda tu..
  7. Said Stuard Shily

    Uchaguzi 2020 Omary Kumbilamoto atoboa siri za CHADEMA kuhujumu Miradi ya Awamu ya Tano

    Leo eneo la Kinyerezi kwenye kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ambaye ndie Rais Mtarajiwa hilo halina ubishi, Kumbilamoto amemuomba msamaha Dkt. Magufuli kuwa walifanya makosa makubwa sana akiwa Meya wa Ilala kupitia CHADEMA kuhujumu miradi ya Serikali ili kuonesha Rais...
  8. Said Stuard Shily

    Mpayo acha mahaba ya kimlengwa fulani

    Leo Asubuhi nikiwa nafuatilia kipindi cha kumekucha kupitia Runinga yetu pendwa ya ITV kipindi ambacho hupitia vichwa vya Magazeti mbalimbali,Cha ajabu Bw.Mpayo alisoma gazeti moja akisema Magufuli aleta matanga Dar.Ndipo nilipoamua kuyafuatilia Magazeti ya tarehe 16/4/2018 na kubaini kuwa...
Back
Top Bottom