Mpayo acha mahaba ya kimlengwa fulani

Mpayo acha mahaba ya kimlengwa fulani

Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
2,464
Reaction score
2,205
Leo Asubuhi nikiwa nafuatilia kipindi cha kumekucha kupitia Runinga yetu pendwa ya ITV kipindi ambacho hupitia vichwa vya Magazeti mbalimbali,Cha ajabu Bw.Mpayo alisoma gazeti moja akisema Magufuli aleta matanga Dar.Ndipo nilipoamua kuyafuatilia Magazeti ya tarehe 16/4/2018 na kubaini kuwa magazeti mengi ya leo yamesheheni Mafuriko yaleta Matanga Dar na si Magufuli aleta matanga Dar yaani hata kusema kumradhi kwa kusoma kitu tofauti hakuna.Hii inatoa tafasiri gani? kwa watangazaji wetu wa kibongo!Naomba kuwasilisha
 
Hapana huyu ana jambo lake na alidhamiria kabisa kusema Mahuguli.
 
Nilidhani mm tu ndo nimesikia Haaaaa Magu aleta maafa Dar
 
Magufuli ni jipu lapaswa kutumbuliwa
 
Back
Top Bottom