Mechi Kati ya Yanga vs Al Merreik ni Kagame Cup

Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
2,261
1,883
Hàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee vita ni mbaya sana.

Hata hivyo kwa kuwa upande wa pili ni watu wanaopenda matatizo ya wenzao kwao ilikuwa sherehe pale Pele stadium ama kwa hakika wamepiga bomu Mortuary.Naomba tuwe na kiasi katika kuchangia uzi wangu
 
mkuu hata kagame cup umeipendelea hadhi ya ile mechi ni SANGA ONE CUP kutoka uwanja wa shule ya msingi SOKOINE HAPA BOMBAMBILI SONGEA.
 
Hàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee vita ni mbaya sana.

Hata hivyo kwa kuwa upande wa pili ni watu wanaopenda matatizo ya wenzao kwao ilikuwa sherehe pale Pele stadium ama kwa hakika wamepiga bomu Mortuary.Naomba tuwe na kiasi katika kuchangia uzi wangu
Last season Holoya walicheza na Simba hawakutumia uwanja wao kwao Guinea kulikua na vita home ground yao ilikua Benin lakini bado mka kandwa
 
Hàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee vita ni mbaya sana.

Hata hivyo kwa kuwa upande wa pili ni watu wanaopenda matatizo ya wenzao kwao ilikuwa sherehe pale Pele stadium ama kwa hakika wamepiga bomu Mortuary.Naomba tuwe na kiasi katika kuchangia uzi wangu
Na utasema yote uharishe kabisa na baado.jana mmetoa draw baada ya kadi nyekundu kwa powerdianamo.mtasema yote
 
Hàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee vita ni mbaya sana.

Hata hivyo kwa kuwa upande wa pili ni watu wanaopenda matatizo ya wenzao kwao ilikuwa sherehe pale Pele stadium ama kwa hakika wamepiga bomu Mortuary.Naomba tuwe na kiasi katika kuchangia uzi wangu
Mmebadili gia angani maana mwanzo mlimsifia sana huyo mwarabu mweusi.
 
Hàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee vita ni mbaya sana.

Hata hivyo kwa kuwa upande wa pili ni watu wanaopenda matatizo ya wenzao kwao ilikuwa sherehe pale Pele stadium ama kwa hakika wamepiga bomu Mortuary.Naomba tuwe na kiasi katika kuchangia uzi wangu
sawa mbumbumbu...
 
Nafikiri kichwa chako kipo kwaajiri ya kukamilisha tu uumbaji wako hakikusaidii kutafakari mambo zwazwaa kabisa..
 
Hàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee vita ni mbaya sana.

Hata hivyo kwa kuwa upande wa pili ni watu wanaopenda matatizo ya wenzao kwao ilikuwa sherehe pale Pele stadium ama kwa hakika wamepiga bomu Mortuary.Naomba tuwe na kiasi katika kuchangia uzi wangu
Aaahaaaa tukutane makundi
 
Yanga Yakaribia Kutimiza Malengo yake Kimataifa...!

Hii ni Kwa Mujibu wa Viongozi wa Utopolo..!

Viongozi hao Mara Kadhaa Wamekuwa wakibainisha kuwa Kwa Kuwa Umri wa Miaka 25 hawajawai Kushiriki CL za CAF hatua ya Makundi basi hilo Litakuwa jambo Zito Linalostahili Maadhimisho Makubwa..!

Nini Kitafanyika kwenye Maadhimisho hayo, ni Suala La Kusubiri..!
Think tanks kule Walishatajwa ni wawili JK na Baba ake mtu..! Wengine Wehu tu.!
 
Hàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee vita ni mbaya sana.

Hata hivyo kwa kuwa upande wa pili ni watu wanaopenda matatizo ya wenzao kwao ilikuwa sherehe pale Pele stadium ama kwa hakika wamepiga bomu Mortuary.Naomba tuwe na kiasi katika kuchangia uzi wangu
Pole ndugu kwa uchungu ulionao, kupunguza uchungu anzeni na kumtimua kocha wenu,halafu mwangalie nani mwingine kikwazo kwenye mafanikio yenu.😂
 
Back
Top Bottom