Search results

  1. krava

    Mzee Ernest jumbani principle wa mpwapwa enzi hizo uko wapi Mzee wetu

    Namkumbuka sana Mzee huyo Ernest jumbani kwa wale walioishi mpwapwa watakuwa wanamkumbuka sana huyu Mzee mungu akubariki popote ulipo
  2. krava

    Naomba kuujua mradi wa cern

    Kuna kitu kinaitwa CERN programme iko uswizi ni mtambo wa ajabu sana nimesoma Maelezo yake asee mpk nimechanganyikiwa anayeweza kutafsiri kwa kiswahili atueleze pliz gugo CERN project ni balaa mnooo
  3. krava

    Naomba kuuliza division ziro za mwaka huu 2017

    Wana jf naomba kuuliza baraza la mitihani tz necta litakapotangaza matokeo ya mwaka huu 2017 je bashite atakuwa mkuu wa mkoa wa darisalama? Je baraza la mitihani tz wakitangaza division ziro za mwaka huu zitaitwaje na wananchi? Je baraza la mitihani likitangaza matokeo ya mwaka huu na...
  4. krava

    Tetesi: Kwa hili LA makonda linazinyima baadhi ya wizara na tasisi nguvu

    Kusema ukweli swala LA makonda sikutaka kulizungumzia tena ila limefika mahali huwezi kaa kimya kwa mpenda haki 1. Baadhi ya wizara na taasisi za serikali zinakosa uhalali moja kwa moja kuzungumzia vyeti feki kwa watumishi wa umma. 2. Linaweza chochea fujo hususan kwa watu watakaoona wanaonewa...
  5. krava

    Ni aibu kuwa mwanadarisalama

    Kwasasa c fahari tena kuwa mwanadarisalama Hamna sifa nzuri mnatia doa mambo mengi Binafsi naiona arusha mbeya na mwanza kama majiji bora kuliko darisalama MNA maskendo kibaoooo Hamtutishi tena wa mikoani nyie wala chipsi baraza liko kwenu nyie mnafekua mnafojua [emoji22] [emoji22]...
  6. krava

    Vyeti feki na mikopo ya benki

    Ndg wana jf naandika haya kwa masikitiko kuna jamaa yangu ni mwalimu aliomba mkopo hatua zote zimekamilika ila Leo hii mkopo Wake umezuia ameambiwa alete uthibitisho kama vyeti vyake vimehakikiwa au la. Barua ya kuthibitisha kama amehakikiwa imemchanganya kwakuwa hili ni geni na hajui anaipata...
  7. krava

    Waziri wa elimu makonda anakuweka njia panda mjibu gwajima kam mlivyonyanyasa waalimu

    Mh waziri wa elimu kilio hiki ni kiu ya haki haonewi MTU tutapiga kelele mpk mbele ya mungu tutamlilia mungu ili tujue nchi hii kuna watu wasiogusika kama mlivyosumbua watumishi wa uma wewe na mh kairuki sasa tokeni mlisemee LA gwajima na makonda msiposema mungu atasema
  8. krava

    Mh. Rais jiridhishe juu ya vyeti vya Makonda na elimu yake

    Mh Rais kwa nafasi yako hakuna mtu yeyote asiyefikiwa na mkono wako ktk nchi hii hata mimi hapa ukitaka kwa kauli yako moja tu utanipata. Sasa ombi langu Mimi kama mwanao hebu angalia ishu ya elimu ya Makonda maana ni mteuliwa wako akiguswa yeye unaguswa wewe pia na sisi hatutaki nafasi yako...
  9. krava

    Ndalichako, Msonde, Wizara ya elimu na Necta tegueni kitendawili cha elimu ya Makonda

    Tunaiomba serikali itegue kitendawili cha elimu ya makonda ili kuiokoa serikali na double standards Serikali kupitia waziri wa ELIMU walisimamia sana kidete swala la vyeti feki kwa watumishi wa umma sasa tunaiomba nguvu iliyotumia kwenye uhakiki wa vyeti ihamishiwe kwa makonda pia ili...
  10. krava

    Mch lusekelo vs gwajima nani tajiri

    Naomba kujua ni yupi tajiri zaidi na mwenye waumini wengi kati ya gwajima na lusekelo Pia naomba kujua nani anaheshimika zaidi na jamii Mwisho naomba kujua nani mkongwe zaidi aliyeanza kitambo uhubiri Asanteni
  11. krava

    Tetesi: Mawasiliano na Israel

    Naomba mwenye mawasiliano yoyote ya ubalozi wa Israel ayaweke hapa
  12. krava

    Mahusiano ya mwanaume mnene na mwanamke mwembamba wanaendana?

    Ndg wana jf nimepata mchumba mwembamba mzuri nampenda sana je tunaendana tutadumu?; Msaada wenu wana jf
  13. krava

    Mbege sio pombe ya kienyeji nakataa

    Ndugu wana JF, Hadhi ya mnywa mbege ni kubwa kulinganisha na pombe zote za kienyeji. Hivyo nashauri iuzwe kwenye mabaa na mahoteli makubwa pia kunywa mbege ni fahari sana.
  14. krava

    Kisa kamili cha mapenzi ushauri unahitajika

    Mwanaume alimzalisha akiwa form two akaishi nae kiunyumba miezi 6 bila Mimi kujua (alinificha) Mimi nikabeba mzigo nikauzalisha nikaishi nao miaka mitano nimeambiwa na wengine kwamba aliishi na mwanaume miezi sita kabla ya Mimi kuishi nae miaka mitano nikamfukuza sasa ameomba msamaha anataka...
  15. krava

    Kuomba kuona unga polisi

    Je wana jf naomba kujua je ninaweza kwenda polisi kuomba kuuona unga live ili siku nikiuona live nikaripoti polisi Yani kiufupi Mimi cjawahi kuuona sasa je naweza kwenda polisi nikaomba kuonyeshwa kihalali?
  16. krava

    Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Hii hospitali inayoitwa Dr. Mzena iko wapi na inamilikiwa na nani, na huyo Dr Mzena ni nani hasa? Yupo au alikuwa hospitali gani? ========= Kwanini hospitali ya Usalama wa Taifa inaitwa Mzena? Emilio Mzena, alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa Idara ya Usalama wa Taifa, na aliongoza idara hii...
  17. krava

    Naomba kujua juu ya (euthanasia) au kifo cha huruma?

    Wana JF, Euthanasia ni nini au kifo cha huruma?
  18. krava

    Table of specification ni nini?

    Naomba uchambuzi makini wa hiki kinachoitwa table of specification kuanzia na knowlege analysis comprehension nk
  19. krava

    Nimechepuka sana na mabaamedi, je nikapime HIV?

    Kichwa cha habari kinajieleza je nikapime HIV naogopa maana nimechepuka sana kavukavu msaada wenu wadau
  20. krava

    Nape vs Polepole

    Mimi ni CCM kindakindaki ila nimkosoaji wa chama changu Namkubali Nape zaidi kuliko Polepole sjui wewe mwana JF.
Back
Top Bottom