krava JF-Expert Member Nov 17, 2016 225 287 Apr 24, 2017 #1 Namkumbuka sana Mzee huyo Ernest jumbani kwa wale walioishi mpwapwa watakuwa wanamkumbuka sana huyu Mzee mungu akubariki popote ulipo
Namkumbuka sana Mzee huyo Ernest jumbani kwa wale walioishi mpwapwa watakuwa wanamkumbuka sana huyu Mzee mungu akubariki popote ulipo
Hazchem plate JF-Expert Member Feb 25, 2011 11,047 15,449 Apr 24, 2017 #2 Hizi ndio nyuzi hazistaili kuwa JF Ushatuona sisi wote wagogo au tilienda kusomea ualimu mpwapwa
M mwayena JF-Expert Member Apr 21, 2016 3,467 5,021 Apr 24, 2017 #3 Hazchem plate said: Hizi ndio nyuzi hazistaili kuwa JF Ushatuona sisi wote wagogo au tilienda kusomea ualimu mpwapwa Click to expand... acha ushamba.
Hazchem plate said: Hizi ndio nyuzi hazistaili kuwa JF Ushatuona sisi wote wagogo au tilienda kusomea ualimu mpwapwa Click to expand... acha ushamba.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 41,997 73,278 Apr 25, 2017 #4 mwayena said: acha ushamba. Click to expand... Muelezee vizuri mzee wako ili tumkumbuke hata kama hatumjui. Weye unaonaje?
mwayena said: acha ushamba. Click to expand... Muelezee vizuri mzee wako ili tumkumbuke hata kama hatumjui. Weye unaonaje?
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Apr 25, 2017 #5 Mpigie namba yake hiyo hapo 0784462814
krava JF-Expert Member Nov 17, 2016 225 287 Apr 25, 2017 Thread starter #6 Asante sana mkwepa kodi kwa wasiomjua jumbani ana sifa nyingi za kipekee nikipata muda nitaziweka hapa ni MTU safi sana cjui kwann hawamtumii serikali
Asante sana mkwepa kodi kwa wasiomjua jumbani ana sifa nyingi za kipekee nikipata muda nitaziweka hapa ni MTU safi sana cjui kwann hawamtumii serikali