Mahusiano ya mwanaume mnene na mwanamke mwembamba wanaendana?

krava

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
225
287
Ndg wana jf nimepata mchumba mwembamba mzuri nampenda sana je tunaendana tutadumu?;

Msaada wenu wana jf
 
Unene n minyama uzembe tu
Ukienda zoez,plus gym
Kwa week tu unene umeisha
Wote

Misngi upendo wenu tu udumu
 
e3cbbf817b8f762736c7b3a9b1d69035.jpg



Kama mnapendana hamna noma
 
Ndg wana jf nimepata mchumba mwembamba mzuri nampenda sana je tunaendana tutadumu?;
Msaada wenu wana jf
- Kuendana / kudumu haitegemea unene / wembamba wa wahusuka
- Kuendana/ Kudumu hutegemea tabia zenu binafsi na hili hutofautiana kulingana na malezi na hulka ya mtu huzika
- Hivyo ni vyema kutumia muda kusomana na kutambua iwapo mna tabia zinazoendana au zinatofautianakwa kiasi kikubwa, Sambamba na hilo Je tabia ya kila mmoja itakuwa ni chanzo cha Furaha kwa kila mmoa

Tazama hii picha
img-20170106-wa0026-jpg.455276


Picha zaidi utaziona hapa: Kutana na harusi ya aina yake

Kingine cha kuzingatia - Leo ni mwembamba ila kesho aweza kuwa mnene kukuzidi wewe hii itatokana na life style yenu.
 
JF the home of great thinkers; imewafanya watu wapungukiwe na uwezo wa kufikiri kama mleta mada hata jambo dogo kama hili anataka great thinker kama Le akili kubwaz aje asaidie mawazo
 
Back
Top Bottom