Waziri wa elimu makonda anakuweka njia panda mjibu gwajima kam mlivyonyanyasa waalimu

krava

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
225
287
Mh waziri wa elimu kilio hiki ni kiu ya haki haonewi MTU tutapiga kelele mpk mbele ya mungu tutamlilia mungu ili tujue nchi hii kuna watu wasiogusika kama mlivyosumbua watumishi wa uma wewe na mh kairuki sasa tokeni mlisemee LA gwajima na makonda msiposema mungu atasema
 
Back
Top Bottom