Ndalichako, Msonde, Wizara ya elimu na Necta tegueni kitendawili cha elimu ya Makonda

krava

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
225
287
Tunaiomba serikali itegue kitendawili cha elimu ya makonda ili kuiokoa serikali na double standards

Serikali kupitia waziri wa ELIMU walisimamia sana kidete swala la vyeti feki kwa watumishi wa umma sasa tunaiomba nguvu iliyotumia kwenye uhakiki wa vyeti ihamishiwe kwa makonda pia ili kuonyesha dhana halisi ya sheria ni msumeno
 
Wauza ngada wameona wamepata point ya kutokea...wamekomaa na hii kitu
Siyo wauza ngada kijana wangu. Meshasahau kuwa bado kuna zoezi lenu la uhakiki wa vyeti feki?
Hakuna mtu aliyejuu ya sheria. Mlipomshuku Gwajima anauza madawa si mlimuita, mbowe mkamwita, Manji mkamwita.
MNAPENDA SANA KUWAONEA WANYONGE ILI NYIE MUONEKANE WASAFI
HAKUNA MTU ALIYEJUU YA SHERIA. HII RAHA SANA UNAPOANDAA OPERESHEN YA TOKEMEZA UHALIFU NA WW MUHALIFU.
Achunguzwe tu,kwan yy ni nani? Hakuna double standards
 
Tunaiomba serikali itegue kitendawili cha elimu ya makonda ili kuiokoa serikali na double standards

Serikali kupitia waziri wa ELIMU walisimamia sana kidete swala la vyeti feki kwa watumishi wa umma sasa tunaiomba nguvu iliyotumia kwenye uhakiki wa vyeti ihamishiwe kwa makonda pia ili kuonyesha dhana halisi ya sheria ni msumeno
Sasa ulicholeta ni tetesi? Ombi? au angalizo?
 
Duh , sasa ni kama tunaendekeza majungu kwenye mitandao. Nguvu na muda unaotumika na watu wengi kuanzisha threads kwenye mitandao juu ya tuhuma hizi, vingetumika kufanya uchunguzi ili kujua ukweli wa jambo hili.
Haiwezi ikawa siri amesoma shule gani, haiwezi ikawa siri amesoma na kina nani, haiwezi ikawa siri matokeo yake ya mtihani, haiwezi ikawa siri ni nani alimpa cheti kinachotuhumiwa kama ni kweli! Kwa nini hatutaki kuzipitia shule alizosoma? Kwa nini hatutaki kuwahoji aliosoma nao? Kwa nini hatutaki kupitia matokeo ya mitihani?
Gazeti la jambo leo limempata anayetuhumiwa kumuuzia Makonda cheti, yeye amekanusha kwa hoja zenye mashiko, japokuwa gazeti hilo linaendelea ku portray shutuma bila evidence.
Mbona nguvu na muda mwingi vinatumika kutuhumu jambo lisilo na uhakika, badala ya kuelekeza kwenye uchunguzi?
 
Duh , sasa ni kama tunaendekeza majungu kwenye mitandao. Nguvu na muda unaotumika na watu wengi kuanzia threads kwenye mitandao juu ya tuhuma hizi, vingetumika kufanya uchunguzi ili kujua ukweli wa jambo hili.
Haiwezi ikawa siri amesoma shule gani, haiwezi ikawa siri amesoma na kina nani, haiwezi ikawa siri matokeo yake ya mtihani, haiwezi ikawa siri ni nani alimpa cheti kinachotuhumiwa kama ni kweli! Kwa nini hatutaki kuzipitia shule alizosoma? Kwa nini hatutaki kuwahoji aliosoma nao? Kwa nini hatutaki kupitia matokeo ya mitihani?
Gazeti la jambo leo limempata anayetuhumiwa kumuuzia Makonda cheti, yeye amekanusha kwa hoja zenye mashiko, japokuwa gazeti hilo linaendelea ku portray shutuma bila evidence.
Mbona nguvu na muda mwingi vinatumika kutuhumu jambo lisilo na uhakika, badala ya kuelekeza kwenye uchunguzi?
Wewe umefanya hivyo?
 
Wauza ngada wameona wamepata point ya kutokea...wamekomaa na hii kitu
Kwahiyo sasa hivi tusioji hata vile vitu vya msingi kuogopa kuitwa wauza unga? Acha achunguzwe au yy mwenyewe haondoe huu utata wa vyeti kama ni msafi ni muda wa kuita media zote haonyeshe vyeti mbele wa andishi utata utakuwa umeisha na hatatembea kifua mbele na kuanzisha operesheni nyingine hapo watu watamuelewa kinyume na hapo watu wamepoteza uaminifu na hata lile zoezi la madawa linapoteza maana halisi. Niombe tu usipoteze muda kumtetea muhusika yupo mshahuri aondoe utata wa elimu. Swala kuforge cheti si swala dogo kama unavyochukulia ww kwamba ni wauza ngada hao! no it is shame
 
Najua unasubiri neno la mkuu ila unaweza kwenda mbinguni moja kwa moja kwa kuchukua nafasi yako, yawezekana hujui hizi dhambi zinazokuandama, chukua maamuzi magumu
Mungu atakusamehe baadhi ya dhambi kama
1. Unafki
2. Uzalimu
3. Uongo
4. Uonevu
5. Ukandamizaji
6, kujipendekeza.
Ahsante mama.
Wako
Mbere
 
Back
Top Bottom