krava
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 225
- 287
Ndg wana jf naandika haya kwa masikitiko kuna jamaa yangu ni mwalimu aliomba mkopo hatua zote zimekamilika ila Leo hii mkopo Wake umezuia ameambiwa alete uthibitisho kama vyeti vyake vimehakikiwa au la.
Barua ya kuthibitisha kama amehakikiwa imemchanganya kwakuwa hili ni geni na hajui anaipata wapi baraza au halmashauri
NB tunapopiga kelele juu ya ishu ya makonda mtuelewe c kwania mbaya kunamambo mengi ambayo c ya haki.
Mfano mwalimu huyu yeye anavyeti safi na alihakikiwa Mara zaidi ya Tatu unadhani anajisikiaje anaponyimwa mkopo kisa uhakikisho wa vyeti vyake wakati mkuu wa mkoa anapeta.
Bank ni NMB watu wa NMB waje wakanushe hili.kwamba kwasasa moja ya vigezo vya kupata mkopo ni barua ya uhakikisho kwamba vyeti vyako vimehakikiwa au la.