Nimechepuka sana na mabaamedi, je nikapime HIV?

Unapimaje ugonjwa ambao huwezi kupata dawa yake??

Usipime mkuu&endelea kuchepuka nao kavu kavu
Ukijielewa mapema itakusaidia kupanga maisha yako, yaani kuzingatia ushauri nasaha na pia kuanza kutumia dawa. Hii itakusaidia angalau kusogeza siku za kuishi.
 
Back
Top Bottom