Ili kupata jibu lako kwa haraka hebu tumia hizi formula
1.reminder theorem
2.solving similiteneous
let gwajima be y
let upako be x
3.Also calculate net worth by using Assumed mean formula.
Naonaga BBC na majarida mbali mbali wanawaelezea watu matajiri duniani leo ndio najua kumbe nao ni wambea tusasa wewe unaetaka kujua tz ilipata uhuru mwaka gani kama cyo umbea ni nini
Lusekelo anaachwa mbali sana na Gwajima kiuchumi. Nguvu ya mchungaji ni idadi ya waumini alionao na vitega uchumi Lusekelo labda ataongoza kwenye majigambo tu ila kiuchumi bado sana
Kwa Tanzania mchungaji tajiri kuliko wote ni Josephat Mwingira sema tu hanaga publicity na show off na tatizo lake kubwa ni kuwabana wachungaji wake kiuchumi hela zote karibu zinabaki makao makuu.
Tujikumbushe ana vitega uchumi kibao kama vile
1. efatha bank
2. efatha seminari
3. Mashamba rukwa huko
4. Nuru insurance co
5. TRENET tv
6. Makanisa kibao tz na nje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.