krava
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 225
- 287
Kusema ukweli swala LA makonda sikutaka kulizungumzia tena ila limefika mahali huwezi kaa kimya kwa mpenda haki
1. Baadhi ya wizara na taasisi za serikali zinakosa uhalali moja kwa moja kuzungumzia vyeti feki kwa watumishi wa umma.
2. Linaweza chochea fujo hususan kwa watu watakaoona wanaonewa mfano Yule mama aliyefungwa miaka 28 kwa kosa kama LA makonda.
Naamini mh JP bado anamlia dogo timing siamini kama atamuacha ni swala LA muda tu ngoja bunge lianze.