Ni aibu kuwa mwanadarisalama

krava

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
225
287
Kwasasa c fahari tena kuwa mwanadarisalama

Hamna sifa nzuri mnatia doa mambo mengi

Binafsi naiona arusha mbeya na mwanza kama majiji bora kuliko darisalama

MNA maskendo kibaoooo

Hamtutishi tena wa mikoani nyie wala chipsi baraza liko kwenu nyie mnafekua mnafojua
 
Kwasasa c fahari tena kuwa mwanadarisalama
Nilikua sijui kama natakiwa kuona fahari.
Hamna sifa nzuri mnatia doa mambo mengi
Sisi hatutafuti sifa.
Binafsi naiona arusha mbeya na mwanza kama majiji bora kuliko darisalama
Enhe kwahiyo...
MNA maskendo kibaoooo
Woooteeee Dar tuna maskendo kibaoooooi.
Hamtutishi tena wa mikoani nyie wala chipsi baraza liko kwenu nyie mnafekua mnafojua
Nani alikufuata akawa anakutisha huyo haya tema mate tumchape.
 
Back
Top Bottom