Table of specification ni nini?

krava

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
225
287
Naomba uchambuzi makini wa hiki kinachoitwa table of specification kuanzia na knowlege analysis comprehension nk
 
Ni chart ya kupima standard ya mtihani kama unataka utunge mitihani kwa wanafunzi
 
Akipatikana mtaalam katika hili afanye analysis katika hili nitashukuru sana.
 
N jedwal linaloonesha mpangilio mzma wa mthan kwa kuangalia namba of topics, namba of question, namba of perids na mlingano wa maswal kulngana na topic zilizofundshwa. Muhm zaid n level mbil za mtihan ktk blooms taxonomy(analysis, knowlegde comprehension, aplication as lower level and sythensis and evaluation as higher level). Any valid examnation must have 2 level, Lower level which comprise 60% marks of a total exam and higher level with 40% marks. Jedwal hil litakusaidia kugawa marks ktk kila topics kulngana na namba of perids ambazo zmetumika na kutunga maswal kwa kuzngatia both level. mwalim yoyote akitunga mthan mgum zaid uyo c mwalm na pia akitunga mwepec zaid uyo sio mwalm. Gugo blooms taxonomy kwa maarifa zaid
 
Hata km mtu anafundisha Feza boys ila km hajasoma education hii kitu itabaki kuwa ndoto kwake.
 
Ndg wanajf nimeona niitupie huku hii topic yangu maana kule jukwaa la ELIMU wachangiaji ni wachache hata hivyo nawashukuru walichangia kule.

Naomba mwenye detailed info za hii kitu inaitwa table of specifications plz kwenye mambo ya ELIMU na utungaji wa mitihani

Nitashukuru sana mods naomba muuache humu huu Uzi ili upate wachangiaji wengi hasa ukichukulia hili ndio jukwaa mama lenye wasomaji wengi.
 
N jedwal linaloonesha mpangilio mzma wa mthan kwa kuangalia namba of topics, namba of question, namba of perids na mlingano wa maswal kulngana na topic zilizofundshwa. Muhm zaid n level mbil za mtihan ktk blooms taxonomy(analysis, knowlegde comprehension, aplication as lower level and sythensis and evaluation as higher level). Any valid examnation must have 2 level, Lower level which comprise 60% marks of a total exam and higher level with 40% marks. Jedwal hil litakusaidia kugawa marks ktk kila topics kulngana na namba of perids ambazo zmetumika na kutunga maswal kwa kuzngatia both level. mwalim yoyote akitunga mthan mgum zaid uyo c mwalm na pia akitunga mwepec zaid uyo sio mwalm. Gugo blooms taxonomy kwa maarifa zaid
Pointi zako ni nzuri ila umeandika kama unamuelezea mtu anaejua unachokielezea. Vipusha vingiiiiii...kupitiliza.
 
Back
Top Bottom