Nape vs Polepole

krava

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
225
287
Mimi ni CCM kindakindaki ila nimkosoaji wa chama changu

Namkubali Nape zaidi kuliko Polepole sjui wewe mwana JF.
 
Unawalinganisha kwa muktadha upi??

Maana hawa unaotaka kuwalinganisha ama kuwapambanisha ni watu wa ina mbili tofauti kabisa yaani hawashabihiani hata kidogo
 
Maccm huwa hayatofautiani sana, wote wachumia tumbo, watu wa kujikombakomba kwa wakubwa wao
 
Nape na Polex2? Ni tofauti saana, mmoja ni msanii tuu na mwingine ni karibu kama Nyerere mnajua yupi ni yupi hapo
 
Nape ni shujaa, alizuia mafuriko kwa mikono.

Pole Pole atawabatiza kwa moto
 
Wasilisha hoja hii kwenye NEC ya CCM tafadhali ijadiliwe na Ma- Comrade!
 
Nape was too agressive,thug,bad boy,game changer,always feared by the Opisition and competent as a spokeperson for our party!
Polepole is too polite,shy,bookish,unfrightening and too pastor-like!
Polepole haogopeshi kama Nape!
Wapinzani walimuogopa Nape,iwe kwa kauli au vitendo!
Hivi mpaka leo,kuna kipi cha kusimumua alichokisema Polepole?hakuna!
Polepole anafaa kuwa lecture chuoni!
 
Unawalinganisha kwa muktadha upi??

Maana hawa unaotaka kuwalinganisha ama kuwapambanisha ni watu wa ina mbili tofauti kabisa yaani hawashabihiani hata kidogo
Hata yeye kasema hawashabihiani.
 
Back
Top Bottom