krava
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 225
- 287
Mh Rais kwa nafasi yako hakuna mtu yeyote asiyefikiwa na mkono wako ktk nchi hii hata mimi hapa ukitaka kwa kauli yako moja tu utanipata.
Sasa ombi langu Mimi kama mwanao hebu angalia ishu ya elimu ya Makonda maana ni mteuliwa wako akiguswa yeye unaguswa wewe pia na sisi hatutaki nafasi yako isemwe kwa lawama maana Rais ni wetu wote wewe Rais ni wetu sote.
Hii ni kiu ya haki pia mama yetu Ndalichako kumbuka ulivyosimamia kidete ishu ya vyeti feki kumbuka ulivyowapigisha gwaride waalimu wako kwenye uhakiki.
Mama Ndalichako tunaomba urudie tena kwa ujasiri kuzungumzia vyeti feki.