krava
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 225
- 287
Wana JF,
Euthanasia ni nini au kifo cha huruma?
Euthanasia ni nini au kifo cha huruma?
Katika uwanda wa elimu ya Sociology hiyo inajulikana pia kama mercy killing. Nini maana yake hiko ni kifo kinachopendekezwa na mgonjwa yeye mwenyewe pasipo kushawishiwa na mtu huku ndugu zake wanaridhia kifo hiko.
Kwanini Mercy killing mgonjwa anakata tamaa baada ya kugundulika ugonjwa wake hatibiki tena, Ugonjwa wenye maumivu makali mfano kansa. kupalalaizi kiuno na mengineyo.
Nchi za Maghalibi na U S A wanapigania sana iwe inatumika kama haki ya binadamu na watu wagonjwa ulimwenguni.
JE INAFANYIKAJE HIYO
MERCY KILLING
1. Mgonjwa apelekwe hospitali inayotambulika na kubobea aina ya ugonjwa unao msumbua mgonjwa
2. Afanyiwe vipimo na Dozi zaidi ya Mara Tano au kulingana makubaliano yake na dokta.
3. Makubaliano ya kukitekeleza hiko kifo lazma yafanywe kwanza na mgonjwa na dokta , kisha ndugu wajuzwe.
4 . Ombi na makubaliano ya Mgonjwa kuamua mwenyewe kujiua lazima yapelekwe Mahakamani.
5 . Mahakama inarizia ( kwa nchi zilizokubali mf nethaland ) basi mgonjwa anatia sain, ndugu, wanafamilia, dokta na msimamiz wa ombi mahakamani wote wanatia saini.
6. Mgonjwa anapewa masaa 72 kujifikilia wazo lake kila baada ya masaa kumi anakumbushiwa kama anasimamia msimamo wake ama hasimamii, kama hasimamii basi fomu inaludishwa mahakamani na kuifuta.
Mda ukilibia wa masaa 72 basi Mgonjwa anapewa nafasi ya kuletewa kitu chochote anachopendelea. Atakula, atakunywa na atawaaga ndugu zake awapendao na kuwapa mamlaka ya mali zake.
Kisha mgonjwa anapewa nafasi ya majuto akimaliza inabidi aulizwe tena kama anataka kufa ama hataki kwa njia hiyo tena.
7. Basi kama anataka kufa kwa njia hiyo atapigwa sindano ya usingizi mzito sana na atawekewa sumu taratibu.
FAIDA YA MERCYKILLING
1. Inapunguza gharama za matibabu eg ugonjwa wa kansa ni ghali sana kuutuliza
2. Inapunguza maambukizi eg hiv/aids na ebola virus
3. Inapunguza msongamano wa wagonjwa
4. Inampa nafasi ya utulivu mgonjwa kufanya ungamo na uridhi
HASARA ZA MERCY KILNING
1. Ipo kinyume na maadili ya Dini zote
2. Inachochea mauaji yasio na hatia
3 . Inanyima fursa wanandugu katika kupata kazi maeneo kama upadri, usista, askari na uintelejinsia
Ndugu Krava, nimejaribu kukujibu kulingana na uwelewa wangu kama ukiwa swali niulize hata nje ya nilicho andika.
By emt45