Mbege sio pombe ya kienyeji nakataa

Mbege sio pombe ya kienyeji nakataa

Mkuu kama uko ARUSHA NJOO HAPA MILESTONE WANAUZAGA MBEGE SIKU ZA JUMAPILI
 
Jaman Mbege ni tamuuu achen hii kitu ni nzuri
 
Kama uko dar Mimi nilishaipata pale Italian park chanika na kwenye bar ya mbombo pale yombo
 
Pale kwa sadala nyuma ya soko ina msesewe ile ni kali kinoma jamaa angu
 
Ila Mbege ya masama mula, sonu, sawe ni tamuuu balaaa
 
Ndugu wana JF,

Hadhi ya mnywa mbege ni kubwa kulinganisha na pombe zote za kienyeji.

Hivyo nashauri iuzwe kwenye mabaa na mahoteli makubwa pia kunywa mbege ni fahari sana.
Kodosaaa
 
1486835460462.jpg
 
Ndugu wana JF,

Hadhi ya mnywa mbege ni kubwa kulinganisha na pombe zote za kienyeji.

Hivyo nashauri iuzwe kwenye mabaa na mahoteli makubwa pia kunywa mbege ni fahari sana.
Mbona inauzwa bar kubwa muda mrefu tu ndg.
 
Back
Top Bottom