Hivi kama tume ya ajira/Chuo cha Ardhi mnakosea matokeo ya watu 8 tu, inakuwaje kwa watu 100-800?
Ni kweli watu wanawekewa matokeo yao kwa usahihi? Mtu wa quality assurance anafanya nini mpaka matokeo haya yanarushwa kwenye tovuti ya PSRS? Watu 8 tu?
kama ilivo kawaida nilitegemea shortlisted candidates wa nafasi za kazi UDOM iwekwe kwa website ya PSRS
. au kuna exceptions UDOM? watu wamepigiwa simu kwenda interview nini agenda ya siri hapo?
Sekretarieti ya Ajira, hivi hamna mtu wa quality assuarance? ili akague adverts zenu kabla ya kuwekwa kwa portal na kwenye webiste? hivi hamnuoni kwamba kuna kazi nyingi zina makosa?
Unakuta kazi ipo kwenye category yako na programme yako iko listed lakini huwezi kuomba kazi unaambiwa programe...
Tume ya ajira, tunaomba muwe mnaweka na matokeo ya written interview kwenye account zetu au website, kusudi mtu ajue amepataje na amekuwa wa ngapi na wamechaguliwa wangapi kwenye stage inayofuata.
Uzuri wote wnaofanya mtihani kuna ID bila majina. sasa kwenye portal mnaweka "not selected" tu...
Kweli media za Tanzania huwa mnachekesha sana , siyo kwa bembelezea hiyo!
kuomba msamaha inapewa coverage kuliko hata Xenophobia !
safari bado ndefu mno!
Airtel mbona kabla mwaka haujaisha mnatunyoosha kwa kupandisha gharama za vifurushi hivyo???. Yani zamani ilikuwa sh. 6000 unapata GB 4 NA DK 500 kwa siku 30. Lakini kwa sasa sh. 5000 unapata GB 2 Kwa siku 7, kweli kweli , mbona difference kubwa sana![emoji21]
Hivi kweli TCU NA Serikali hamjaona watoto wanavyoteseka na kukosa nafasi vyuoni? Kweli Elimu siyo priority I can see!!!! [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
.Kutokana na Changamoto zinazoendelea kwenye admission za vyuo vikuu mwaka 2017/2018, kuna hatari kubwa ya waombaji kukosa vyuo! Mpaka sasa Changamoto ni kubwa hasa Multiple admissions! Swala hili liko kimya lakini kiukweli ni shida sana! Mpaka sasa mtu ana Division one but hajapata chuo...
Kutokana na Changamoto zinazoendelea kwenye admission za vyuo vikuu mwaka 2017/2018, kuna hatari kubwa ya waombaji kukosa vyuo! Mpaka sasa Changamoto ni kubwa hasa Multiple admissions! Swala hili liko kimya lakini kiukweli ni shida sana! Mpaka sasa mtu ana Division one but hajapata chuo...
Mh. Innocent wa jimbo la Kyerwa, unaona ni sawa vijiji vyote kuanzia Nkwenda mpaka Kamuli vimepata umeme lakini Mtaa wa Kagoma ulirukwa? Ule Mtaa una Ofisi ya Kijiji, Hospitali inayohudumia zaidi ya Kata 5, Ofisi ya Chama cha Msingi, lakini bado ina Maana hawakuona umuhimu wa ile sehemu...
Clouds Media nawashangaa sana! huwa mnaonesha udhahifu mara nyingi. Leo nimeona tangazo juu ya siku ya wanawake, likionesha jinsi Tanzania ilivopiga hatua kwa kuwa na wanawake walioshika nyadhifa za juu especially bungeni, ni kweli lakini picha wakamwonesha nahibu spika na Mama Salma!!! ...
Mzee Kabunga , wewe umezeeka sasa, na wewe mi muumini mzuri tu! Lakini kwa hiki kitendo cha kuendelea kuratibu mipango yako mibovu ili watu wasio na hatia waendelee kuumia hata Mungu unayemwabudu apendi!!! Kwa nini mnawakandamiza kiasi hicho? Kumbuka nao walizaliwa kama wewe, wamezaa kaka...
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (NYARAKA) NAFASI 50
hapo juu ni title ya kazi lakini sijaelewa hiki ni cheo gani ( msaidizi wa kumbukumbu),
alafu mbna kazi zenyewe hazioneshi ni office gani au idara gani au wizara gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.