Samba
Member
- Nov 24, 2013
- 74
- 65
Clouds Media nawashangaa sana! huwa mnaonesha udhahifu mara nyingi. Leo nimeona tangazo juu ya siku ya wanawake, likionesha jinsi Tanzania ilivopiga hatua kwa kuwa na wanawake walioshika nyadhifa za juu especially bungeni, ni kweli lakini picha wakamwonesha nahibu spika na Mama Salma!!! , hivi mama Salma amehudhuria hata kikao kimoja cha bunge? Mbona wa bunge kibao waliogombea majimbo na wakashinda kwa kishindo hamjawaonesha? au niseme wabunge wanawake wa muda mrefu hamjawaona? Hao ndio malkia sababu wana michango ambayo hata hoja zao zimekuwa implemented mara nyingi kusaidia nchi. Mtu hata hajaapa eti ndio mnamtangaza utafikiri ana jimbo!
ACHENI HIZO MAMBO!!!
ACHENI HIZO MAMBO!!!