Tume ya Ajira, mbona interview za UDOM hamjatoa tangazo kwa website ya PSRS kama zilivyo nyingine?

Samba

Member
Nov 24, 2013
74
65
kama ilivo kawaida nilitegemea shortlisted candidates wa nafasi za kazi UDOM iwekwe kwa website ya PSRS
. au kuna exceptions UDOM? watu wamepigiwa simu kwenda interview nini agenda ya siri hapo?
 
May 12, 2022
39
147
kama ilivo kawaida nilitegemea shortlisted candidates wa nafasi za kazi UDOM iwekwe kwa website ya PSRS
. au kuna exceptions UDOM? watu wamepigiwa simu kwenda interview nini agenda ya siri hapo?
tuliza pressure kijana,zamu ikifika waombaji waliomba nafasi za UDOM wataitwa,PSRS haifanyi kazi JF
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom