Mwaka huu kupata nafasi ya kujiunga na Chuo kikuu ni Changamoto

Samba

Member
Nov 24, 2013
74
65
.Kutokana na Changamoto zinazoendelea kwenye admission za vyuo vikuu mwaka 2017/2018, kuna hatari kubwa ya waombaji kukosa vyuo! Mpaka sasa Changamoto ni kubwa hasa Multiple admissions! Swala hili liko kimya lakini kiukweli ni shida sana! Mpaka sasa mtu ana Division one but hajapata chuo! Kwa kweli wewe Uliyeshauri / kusitisha CAS jua umetesa watoto wengi , na usumbufu Mkubwa vyuoni.
 
Sijakuelewa. Mtu ana multiple admissions. Na bado unasema hajapata chuo?
 
Uku bod panawaka moto..wanasubili wafikishe watu 30,000....wengine tutarudi kulima tuu...kusoma bila mkopo kwa maisha yetu ya ukulima ni ndoto za mchana
Dah, mimi mwezenu sina ata taarifa yani .....

Ivi mkuu uku kwenye body ya mikopo kupo vipi?
 
Back
Top Bottom