Samba
Member
- Nov 24, 2013
- 74
- 65
Mzee Kabunga , wewe umezeeka sasa, na wewe mi muumini mzuri tu! Lakini kwa hiki kitendo cha kuendelea kuratibu mipango yako mibovu ili watu wasio na hatia waendelee kuumia hata Mungu unayemwabudu apendi!!! Kwa nini mnawakandamiza kiasi hicho? Kumbuka nao walizaliwa kama wewe, wamezaa kaka wewe, na wana wazazi kama wewe! Kama mungeyafanya hayo nao wana hatia ingekuwa powa , lakini mmewachezea mchezo mchafu! Acheni kabisa tabia ya kuwakandamiza wanyonge kisheria! Mungu anawaona na ipo siku atakataa hila zenu.