Search results

  1. MC RAS PAROKO

    Tuwatumie wafungwa/Magereza kuzalisha chakula cha wanafunzi na chakula kiwe bure kwa shule zote

    Nitaandika kwa kifupi sana kwa kuwa hii ni hoja isiyo hitaji maelezo mengi. Hoja yangu ya msingi ni hii Badala ya serikali kuwafungia ndani wafungwa na kuwatumia kufanya usafi mara moja kwa wiki tuwatumie wafungwa hawa kuzalisha chakula cha wanafunzi mashuleni na kitolewe bure pia, kwa wanafunzi...
  2. MC RAS PAROKO

    Fanya hivi kunufaika na ongezeko la tozo katika miamala ya simu (M-Pesa, Tigo Pesa, Halo Pesa)

    Ni matumaini yangu mu buheri wa afya, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. kwa kuwa kam tujuavyo kumekua na kilio kikubwa kutoka kila kona nchini kutokana na ongezeko la gharama za kutuma na kutoa pesa kupitia simu zetu (Mobile Money Transactions). Nikiwa ni muhanga...
  3. MC RAS PAROKO

    Wazo la biashara ya mazao na mifugo

    Wazo la biashara ya MAZAO na MIFUGO Niende moja kwa moja katika mada, nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu masuala ya mazao na mifugo na katika hayo nimepata taarifa muhimu sana na nikaona nisiwe mchoyo niweze kushiriki nanyi kwa pamoja tuinue hali zetu za kiuchumi. Ukiangalia katika mwaka...
  4. MC RAS PAROKO

    Mambo ya kuzingatia kabla hujaanza matumizi ya pesa

    Kwa muda huu kila jambo ni gumu kwa sababu hakuna aliyeona au kuhis haya yangetokea ktk kizaz chetu. Ila yameshatokea na yametupa mafundisho ambyo hakuna aliyewahi kufkir angeyasoma kwa njia ngumu kiasi hiki. Si biashara si ajira kila mmoja anapigania uhai wake, Nitakupa mbinu 5 kwa leo ambzo...
  5. MC RAS PAROKO

    Kuhusu hisa za makampuni yaliyo kwenye Soko la Hisa Dar (DSE)

    Habari za wakati huu wakuu, Niwape pole kwa mampambano mnayoyaendeleza nje ya mitandao kila mmoja kwa upande wake akiamini atapata kile anachokipigania. Bila kupoteza wakati nielekee moja kwa moja kwenye mkeka wangu wa leo na kama unavyojieleza hapo juu,Pasi na kupoteza wakati nieleze tu mimi...
  6. MC RAS PAROKO

    Kuhusu Hisa za makampuni yaliyo kwenye soko la hisa Dar (DSE)

    Habari za wakati huu wakuu, Niwape pole kwa mampambano mnayoyaendeleza nje ya mitandao kila mmoja kwa upande wake akiamini atapata kile anachokipigania. Bila kupoteza wakati nielekee moja kwa moja kwenye mkeka wangu wa leo na kama unavyojieleza hapo juu,Pasi na kupoteza wakati nieleze tu mimi...
  7. MC RAS PAROKO

    Mkataba wa Lemere

    Mkataba wa Lemera Gazeti la Mwanahalisi la tar. 11 Feb. mwaka 2009, katika Makuu yake yenye kichwa cha habari, Mkataba wa Kuuza Kongo lilijikiu katika anga za Virunga. likiclcza kile kiilichoitwa Vita vya Kongo kwamba ilikuwa ni utekelezaji wa Makubaliano ya Lemera y. mwaka I996, yenye shabaha...
  8. MC RAS PAROKO

    EPS Panel: Kwanini teknolojia hii haitumiki sana Tanzania?

    Ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Kwa leo naomba kujuzwa na walio wataalamu kwenye sekta ya ujenzi kwa nini teknolojia hii ya kutumia panel za EPS (Expanded Polystyrene) haitumiki sana hapa kwetu Tz? Sababu za kutaka kupata ufafanuzikatika hili nikwamba, nimeona wenzetu majirani wanatumia...
  9. MC RAS PAROKO

    52 week saving challenge imeanza tayari

    Basi hivi ndio nimeamua kuanza mwaka! -------------------------------------------------------------------------------------------------------------- Nimepata hili wazo la kuweka akiba kila wiki kutoka kwa mmoja warafiki zangu anayeishi Kenya. nikajaribu kulifikiria mara mbili mbili huku swali...
  10. MC RAS PAROKO

    Nahitaji mashine za kutengenezea ice cream

    Habari za leo wakuu; Nina wazo la kuanzisha biashara ya ice cream maeneo ya Moshi (Jirani na Muccobs) naomba ushauri wowote wa kitaalamu kwa mwenye uzoefu na hii biashara. Pia naomba kujuzwa wapi naweza kupata hizi machine za kutengeneza ice cream. Naomba kuwasilisha. Ahsanteni
  11. MC RAS PAROKO

    Opportunity ya bishara wilaya ya Serengeti

    Habari za wakati huu mpendwa msomaji. nimeweza kutembelea wilaya ya serengeti iliyo mkoa wa Mara kaskazini mwa Tanzania na katika matembezi yangu hayo kuna baadhi ya mambo nimeyaona ambayo yanaweza kuwasaidia wale wenye mitaji wanaohitaji kufanya biashara. 1. Kufungua supermarket-Eneo...
  12. MC RAS PAROKO

    Tanzania Voted the Best Safari Country of Africa

    SafariBookings.com conducted an in-depth analysis of 3,061 reviews of safari tourists and acclaimed experts and concluded that both have voted Tanzania as the best safari country of Africa. Over the past two years a distinctive SafariBookings taskforce searched for those who have been on safari...
  13. MC RAS PAROKO

    Desktop inagoma kuwaka msaada please!

    Natanguliza shukrani wakuu. Nina computer yangu aina ya Dell kwanzia jana najaribu kuwasha inagoma screen inakuwa black yote na inaleta ujumbe kwa maandishi meupe kwamba 1. AUTO DETECT ENTERING POWER MODE . Na inaishia hapo lakini CPU inawaka coz nasikia ikinguruma kama kawaida na namba...
  14. MC RAS PAROKO

    Hili apa wazo la biashara kwa wenye mtaji

    Natumai mu wazima tena siku hii ya leo mkiendelea na mapambano dhidi ya umaskini niwape pole sana na niwatie moyo tu mapambano ni magumu ila tutashinda pamoja. Bila kupoteza muda nianze moja kwa moja nipo mkoani Mara na nimepitia baadhi ya wilaya kama serengeti,tarime n.k lakini nimefika...
  15. MC RAS PAROKO

    msaada wa kufungua laptop

    habari za asubuhi wadau wa jf. ni matumaini yangu mu wazima wa afya na nina furaha kufahamu hilo. ningependa kujuzwa nanma ya kufungua loptop ambayo imefungwa ishindwe kuingia kwenye mitandao mingene isipokuwa mmoja tu yani inaniboa sana nakuwa ofisini nashindwa kusoma hata gazeti eti hadi...
  16. MC RAS PAROKO

    Jkt kazi kwenu vijana

    Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa Jeshi la Kujenga Taifa limekuwa chimbuko la kuandaa vijana kuajiriwa na vyombo vya Ulinzi na Usalama nchini kama JWTZ, Polisi, Magereza, Usalama wa Taifa na taasisi binafsi za ulinzi. Hivyo Jeshi la Kujenga Taifa linachukua vijana wa kujitolea na mujibu wa...
  17. MC RAS PAROKO

    Kazi ni kazi tu

    Habarini za asubuhi wanw jf. kwakweli kuna kipindi nilikuwa nahitaji sana kupata kibarua lakini kwa sasa nahamu hata niache kazi kutokana na majukumu kuwa mengi kwanza kazi haina cha weekend wala public holiday"s saizi tu huwezi kuamini pamoja na x mass hii tayari nimeanza kazi na kinachoiudhi...
  18. MC RAS PAROKO

    Msaada: Jinsi ya kutengeneza kituo (kidogo) cha fm radio

    Habari wanajukwaa, naamini kwenye jukwaa hili kuna wataalamu wa kada mbali mbali na ndio sababu ya jf kuheshimika na kuzidi kuwa na wanachama wengi tujipongeze kwa hilo. Bila kupoteza muda niende kwenye mada yangu ya msingi inayohusu jinsi ya kuunda kituo cha radio kwa kutumia vifaa vya radio...
  19. MC RAS PAROKO

    Nimesoma na kuhitimu uhasibu kwa ngazi ya cheti

    Nitangulize shukrazi kwenu wadau wa JF.. Mimi ni kijana wa kiume ninayeishi kilimanjaro. Nina cheti cha uhasibu na haikuwa malengo yangu kuishia certificate bali ni kutokana na kwamba nilikuwa nalipiwa ada na ndugu zangu ila kwa sasa wamedai ada ya diploma ipo juu sana na ukizingatia na wao...
  20. MC RAS PAROKO

    Mbunge wa moshi (V) yupo wapii..!??

    Habari za jioni wadau!. Nianze kwa kuwapa pole kwa pilika pilika za maisha ya kila siku na pengine niwakumbushe kwamba msingi wa maendeleo ni kazi. Basi bila kupoteza muda nianze kwa kusema mimi ni mkazi wa kata ya mabogini-moshi. Kuna mambo ambayo siyaelewi kwenye jimbo langu kwanza ni huyu...
Back
Top Bottom