Kuwekeza kwenye share na hati fungani it's risk lakini kuwekeza kwenye hisa ni risk zaidi na risk zipo katika aina hizi...
Systematic risk hizi ni aina za risk ambazo ni unavoidable( haziepukiki) maranyingine huitwa market risk, huathiri soko zima, mfano wa hizo risk ni inflation, vita n.k...
Soko la Hisa Dar es salaam limevamiwa rasmi na matapeli wa Kimataifa.
Hawa matapeli wanaweka Page za Insta na Fb na wanataka ufuatw link wakufundisgw namna ya kununua Hisa.
Hawa matapeli hakuna hata mmoja mwenye jina la Kitanzania, hakuna namba ya simu wala ofisi zilipo hata kama ni kwenye...
Je, unatamani kuwekeza kwenye Soko la Hisa Tanzania lakini hujui pa kuanzia? Au unataka kujifunza jinsi ya kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji kwa kutumia uchambuzi wa kitaalamu? Kozi ya Uwekezaji Katika Soko la Hisa Tanzania ya ChuoSmart imeandaliwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili kwa wanaoanza...
TAARIFA KWA UMMA
DSE imebaini matangazo bandia ya uwekezaji yanayodai kwa uongo kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika DSE.
Matangazo haya HAYAJARUHUSIWA wala KUIDHINISHWA na DSE
Usibofye.
Usishiriki.
Usitume pesa.
Daima hakiki taarifa za uwekezaji kupitia tovuti rasmi ya DSE na kurasa...
Wakuu nimeangalia trend ya NMB,
Leo kuna change ya 300+ kwene share !!
Nikawaza ningekua nimewekeza milion 20 leo ningetengeneza hela hii
1=15380 Tsh
X=20,000,000
Kwaiyo milion 20 ingekua ni sawa na hisa
20000000/15380=1,300.39
Ningekua na hisa 1300
Kwa ongezeko la leo 300+
=1300+300=1,600...
Katika hatua inayoweza kubadilisha kabisa mwonekano wa hisa za NMB kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bodi ya Wakurugenzi wa NMB Bank Plc imependekeza mgawanyo wa hisa (Share Split) wa uwiano wa 1:10, ambapo hisa moja ya kawaida itagawanywa kuwa hisa 10 za kawaida.
Pendekezo hilo...
Wakuu,
Nimekaa hapa nimejiuliza benki kubwa zaidi Tanzania ni CRDB, NMB na NBC
Sasa CRDB na NMB wenyewe wako kwenye soko la hisa kwa muda mrefu sana, NMB wako tangu mwaka 2008
Kwanini hii benki ya NBC haiko kwenye soko la hisa?
Kuna siri gani huko kwenye hii benki mpaka haitaki watu...
Watu wengi huweka nguvu zote kwenye kufanya kazi kila siku lakini hawajui jinsi ya kufanya pesa zao ziwaongezee pesa nyingine kupitia uwekezaji. Moja ya maeneo ambayo matajiri wengi duniani hutumia kujenga wealth kwa muda mrefu ni soko la hisa (stock market).
Lakini swali kubwa ni:
👉 Soko la...
Naomba kuuliza Wakuu
Hivi kwanini Tanzania kuna kampuni 28 tu kwenye soko la hisa? Ukienda kuangalia kwenye nchi nyingine kama Afrika Kusini unakuta kuna kampuni kama 200 hivi ambazo watu wanaweza kununua na kuuza hisa
Sasa naomba kueleweshwa kwanini? Hapa Bongo tuna watu kama kina Mo...
Wakuu habari za majukumu
Kwa Yoyote mwenye Ufahamu au uelewa zaidi juu ya namna ya kuwekeza katika soko la HISA Kenya anisaidie ushauri na mawazo.Pia kama kuna soko zuri zaidi la Kenya kwenye HISA naomba nisaidiwe
Asante
Kwa uchumi wa nchi yetu ulipofikia sasa,Serikali haioni tija ya kuwa na sera itakayo vutia na kulazimisha makampuni makubwa kujiunga na soko la Hisa la DSE
Faida ya Makampuni kuwa katika soko la hisa
Upatikanaji wa Mtaji wa Gharama Nafuu
Kuongeza Thamani na Hadhi ya Kampuni
Kuongeza ufanisi na...
Nipo katika wiki mbili za mapumziko,natumia mda huu katika kuchambua ripoti za makampuni yaliyopo DSE..
Karibuni tushirikiane kwa hili.
Tunaweza fanya kwa kuunda group la WhatsApp au tukakutana...
Ili tujue kampuni lipi
1. Zuri kuwekeza kwa mda mrefu
2.zuri kuwekeza mda mfupi
3. Hali nzima...
Habari za wakati;
Habari za wakati huu.Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na Ujenzi wa Taifa na Uchumi binafsi.
Leo nataka nilete mada hii kwa ufupi ili nichokozi mjadala uanohusu soko La Hisa.Kabla ya kuanza kwa mjadla niweke wazi kwamba mimi sio mtaalamu wa fedha,wala biashara,wala...
Niwe mkweli, uchumi wetu kwenye kona ya soko la hisa una tabia yake yenyewe tu ambayo ni unique dunia nzima.
Hii ni sababu zile factors ambazo zinatambulika 'globally' kuathiri bei ya hisa za public companies duniani kote hapa Tanzania hazifanyi kazi.
Mfano mdogo sana, hisa za kampuni kama...
Sekta ya benki ni mojawapo ya sekta zinazofanya vizuri katika Dar es Salaam Stock Exchange ikiwa na taasisi kama CRDB Bank Plc, NMB Bank Plc, MKCB, MBP na DCB Commercial Bank Plc.
Lakini pia ni sekta inayosimamiwa kwa ukaribu mkubwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa sababu inahusisha fedha za...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) Bw. Peter Nalitolela, mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 13 Februari 2026, Dodoma.
Katika...
Soko la hisa huendeshwa na mwenendo wa kampuni husika.
Iweje hisa za CRDB zisiyumbe baada ya CRDB kukosekana hewani na kuleta shida kwa watumiaji wa huduma zake?
Iweje Vodacom imepata faida ya 90bil ila hisa zake imebaki 580 ile ile?
Tumezoea kuona masoko ya nje kama nasdaq, nyse, lse...
Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni ongezeko la mtaji (capital gain). Hii hutokea pale ambapo bei ya hisa unazozimiliki inapanda kuliko bei uliyozinunulia, na hivyo kuongezeka kwa thamani ya uwekezaji wako.
Picha hapo juu inaonyesha mfano halisi wa makampuni 10 yaliyoongoza...
🔑 RETURN ON EQUITY (ROE)
👉 ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida.
Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: “Kila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?”
📌 Jinsi ya kuipata ROE...
Je, unalenga nini katika uwekezaji wako: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)?
Watu wengi huingia kwenye soko la hisa bila kuwa na malengo ya wazi. Lakini ukweli ni kwamba malengo yako ndiyo dira ya uwekezaji wako. Kabla hujaweka hela yako, jiulize: Nataka kupata faida kwa njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.