Nahitaji mashine za kutengenezea ice cream

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
622
602
Habari za leo wakuu;

ice-cream.jpg

Nina wazo la kuanzisha biashara ya ice cream maeneo ya Moshi (Jirani na Muccobs) naomba ushauri wowote wa kitaalamu kwa mwenye uzoefu na hii biashara. Pia naomba kujuzwa wapi naweza kupata hizi machine za kutengeneza ice cream.

Naomba kuwasilisha.

Ahsanteni
 
kuna jamaa nilimkuta pale sabasaba yeye ni biashara yake hiyo nicheki pm nikupe namba yake
pia ulizia pale clock towermnazi mmoja au tafuta watu waliopo china uagize kuna jamaa yeye hufanya hivyo shida kuaminiana
lakini anza na hawa malipo baada ya kuona machine yako
 
naombeni msaada hapo ktk hyo mada hivi ni mchanganyiko gani wanafanya mpaka wanapata ule uji uji wa ice cream
 
Back
Top Bottom