Search results

  1. U

    Swali Kutoka Kwa Mdau...JE Chemical Alistahili Kupata Tuzo ya Rapper Bora wa Kike Tanzania Mbele ya Rosa Ree?

    Listen to Satan and blue Print , nakuwekea hapa ndo utajua ukali wake kwa ufupi Satan Video: Blue Print Video: Na wewe unaruhusiwa kuweka za Chemical ambazo ni kali tubalance hii habari
  2. U

    Rosa Ree "Mimi Ndio Rappa bora Africa Nzima Kwa Wanawake na Wanaume"

    Mkali huyo ambaye jina lake halisi ni Rosary Robert, mzaliwa wa Moshi Tanzania, leo kupitia ukurasa wake wa Instagram awakumbusha wakali wenzie kadhalika na mashabiki kuwa yeye ndio rappa Bora Afrika tena kiujumla. "I AM THE GODDESSSSS! 👑. Hakuna rapper ambaye ananizidi Africa nzima...
  3. U

    Best female artist wa Tanzania!!

    Vanessa Mdee au
  4. U

    Rosa Ree na Abby Chams Moto wa Kuotea Mbali Wametuletea Hii

    A beautiful love song from the Goddess #RosaRee and as always she never disappoints. In this amazing love story she has featured singer songwriter and violinist #AbbyChams and it’s a MUST WATCH. Rosa Ree never seizes to surprise us with her amazing talent. Can’t wait for what’s next.
  5. U

    Pini jingine kutoka kwa Rosa Ree utata mtupu Kanisa lahusika, adai "I'm not Sorry"

    Huu wimbo dah utata mtupu, lakini huyo demu kauwa sana humu
  6. U

    Wimbo Bora ya Maombolezo ya JPM so Far ni Hii ya Rosa Ree, Ya wasafi Sijailewa sana

    Mpaka sasa naona nyimbo zilizotolewa na maomboleza ni nyingi ila hii ya Rosa Ree Kigodo inilize walahi, ya Wasafi sijaelewa sana japo imesheheni wasaniii kibao Unaionaje Mtu wangu, hii hapa chini:
  7. U

    Tazama VIDEO mpya ya Rosa Ree -That Gal

    The Goddess Rosa Ree has come through with another BANGER titled #ThatGal The Tanzanian female rapper does not seize to amaze us with her versatility and limitless talent. In this new joint she has fused 3 languages that is English, Swahili and the Jamaican patwaa. The command and authority...
  8. U

    Mpigie kura Rosa Ree kama Rapper Bora wa Kike Africa Tuzo za AFRIMMA

    Rapper wa Kike Rosa Ree amefanikiwa kuwepo katika orodha ya wasanii wanaowania tuzo za AFRIMMA Mwaka huu, Amechaguliwa kuwania vipengele viwili ambavyo ni Mwanamuziki bora wa kike Afrika Mashariki (Best Female East Africa) Rapper bora wa Kike Afrika ( Best Female Rap Act) Ili Kumpigia kura...
  9. U

    Sikiliza wimbo wa Rosa Ree ambao Harmonize alitumia beat yake bila ruhusa na kusababisha Rosa kumshtaki

    Sikiliza Wimbo wa Rosa Ree Ambao Harmonize Alitumia Beat Yake Bila Ruhusa na Kusababisha Rosa Kumshtaki youtube, Harmonize siku ya jana alipandisha wimbo katika Youtube channel yake wimbo wa Amen ambao ametumia beat ya wimbo wa Kanyor Aleng wa Rosa Ree Bila Ruhusa. Asubuhi ya leo wimbo huo...
  10. U

    NEW Video: Rosa Ree - Kupoa {Official Video}

    Rapper wa Kike Tanzania Rosa Ree Ameachia Video ya nyimbo mpya inayoitwa - Kupoa Nimekuwekea hapa chini uitazame mtu wangu.
  11. U

    Tetesi: Rosa Ree kuingia WCB Wasafi. Tazama Ngoma Waliofanya na Rayvanny

    Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi Ngoma yake mpya iliyokaa number moja trending kwa siku kadhaa youtube akiwa na rayvanny nimekuwekea hapa chini:
  12. U

    Rapper Rosa Ree atoa Wimbo mpya unaoitwa "Balenciaga

    Rapper ROSA Ree Atoa Wimbo Mpya Unaoitwa "Balenciaga" Tazama VIDEO Hapa Mambo ya Vitamini Uuuuuuuuu
  13. U

    Rosa Ree Atoa Ngoma Mpya Baada tu ya Kufunguliwa na Basata..Itazame Hapa

    The GODDESS comes out with another masacre featuring uganda's finest dancers #GhettoKids , the queen of uganda's stages #SpiceDiana and South Africa's baddest female rapper #GigiLamayne The song is titled ALAMBA CHINI.
  14. U

    Mjumbe wa BASATA, Mwana Fa kudai hawezi kumtetea Rosa Ree kwani nafsi inamsuta. Ni sawa?

    Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya wa muondoko wa Hop Hip, Hamis Mwinjuma maarufu MwanaFa amesema msanii wa muziki wa Hip Hop Tanzania, Rosa Ree amestahili adhabu ya BASATA, hivyo hawezi kujitokeza kumtetea Asema "Rosa Ree ni mdogo wangu lakini nafsi yangu itanisuta kama ntaenda kumtetea...
  15. U

    Mjumbe wa Basata MwanaFa Amruka ROSA Ree...Adai Hawezi Mtetea Nafsi Inamsuta

    MwanaFa Asema Rosa Ree Amestahili Adhabu BASATA, Hivyo Hawezi kujitokeza kumtetea "Rosa Ree ni mdogo wangu lakini nafsi yangu itanisuta kama ntaenda kumtetea kutokana na video yake, nafkiri hata yeye hadhani kama ameonewa, me nafkiri tumuache atumikie adhabu yake" -: @MwanaFA MwanaFA ni Mjumbe...
  16. U

    VIDEO Mpya: Rosa Ree Featuring Fik Femaica - Acha Ungese

    Rosa Ree continues to surprise people with her consistence of releasing hit songs. Here is another one from Rosa Ree herself featuring Fik Fameica from Uganda Acha Ungese. TAZAMA VIDEO:
  17. U

    Rosa Ree Atoa Ingine na Mganda.Itazame Hapa

    Huyu Mtoto Atafika mbali sanaaaaa...international Collabo
  18. U

    Sikiliza Wimbo Mpya wa Rosa Ree Unaitwa What You Know...

    Sikiliza Wimbo Mpya wa Rosa Ree Unaitwa What You Know...Huu ni wimbo uliokatika mahadhi ya Raggae umerekodiwa South Afrika na Producer Anayeitwa Sakhile Bonyeza Play Kusikiliza:
Back
Top Bottom