Mpigie kura Rosa Ree kama Rapper Bora wa Kike Africa Tuzo za AFRIMMA

Udakuz

Member
Feb 4, 2013
85
51
Rapper wa Kike Rosa Ree amefanikiwa kuwepo katika orodha ya wasanii wanaowania tuzo za AFRIMMA Mwaka huu,

Amechaguliwa kuwania vipengele viwili ambavyo ni
  1. Mwanamuziki bora wa kike Afrika Mashariki (Best Female East Africa)
  2. Rapper bora wa Kike Afrika ( Best Female Rap Act)
Ili Kumpigia kura Bonyeza Link HAPA kisha tick Jina Lake katika vipingele hivyo viwili alafu Shuka chini Bonyeza Cast your Vote

NOTE: Hakikisha Umeweka Majina yako na Email yako kwanza

Mcheza kwao Hutunzwa
 
Back
Top Bottom