Naseeb Abdul Juma Issack (born 2 October 1989), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, and often referred to as "Simba" (meaning Lion in Swahili) or "The King of Bongo-Flava" is a Tanzanian bongo flava recording artist, actor, dancer, philanthropist and a businessman from Tandale, Dar es Salaam. He is the founder and CEO of WCB Wasafi Record Label, Zoom Extra, Wasafi TV, a Tanzanian media outlet, and Wasafi Fm, one of Tanzania's latest radio stations.Diamond Platnumz is among the most popular artists in East and Central Africa. He has had several hit songs and has been awarded numerous awards. He is the first Africa-based artist to reach a combined total of 900 million YouTube views. In 2013, according to Tanzania's mobile phone companies, he was the best selling artist of ringtones. Diamond is also one of the top earners in the African Great Lakes region's music industry.Diamond is jointly managed by Sallam Ahmed Sharaff (Sallam SK) a.k.a. Don Mendez, Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale) and Saidi Hassan Mlinge (Mkubwa Fella) from the Tanzanian music.In 2021, Diamond together with his record label WCB Wasafi entered into a 360 Partnership with Warner Music Group.
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, ameeleza kutoridhishwa na tabia ya mashabiki na jamii kuhusianisha utendaji wa kazi zake za sanaa na maisha yake ya mahusiano ya kimapenzi.
Diamond ametoa kauli hiyo wakati akizungumzia changamoto anazokumbana nazo katika taaluma yake, ambapo...
Katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii, watoto wa staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, wamekuwa wakivuta hisia za mashabiki wengi pindi tu wanapozaliwa.
Awamu hii, mtoto wa msanii huyo aliyezaa na msanii mwenzake wa WCB Wasafi, Zuchu, aitwaye Sandrah Naseeb, ameingia kwenye vichwa vya habari...
Mtoto wa wasanii nguli wa muziki nchini, Diamond Platnumz na Zuchu, ametangazwa rasmi kuwa balozi mpya wa kampuni ya GSM.
Chapa ya GSM Beverages, imetangaza kumpa ubalozi mtoto wa Zuchu na Diamond Platnumz, Sandrah katika sherehe ya mtoto huyo.
Wasanii Diamond Platnumz na Zuchu, wamezidi kuvuta hisia za mashabiki wao kufuatia hatua yao ya hivi karibuni ya kuchapisha picha mpya za mtoto wao wa kike, Sandrah Nasibu Issac.
Tofauti na awali ambapo walikuwa wakitumia emoji kuficha kabisa sura yake kwenye mitandao ya kijamii, picha za hivi...
Kupitia kipindi Cha Transfoma pale EFM, Ibraah ambaye alitambulishwa kwenye mziki na Harmonize amesema anasikitishwa na kitendo Cha Harmonize kumblock kisa tu alimpost Diamond Platinumz.
"naumia sana Harmonize Aliniblock Kila sehemu kisa tu nilimpost Diamond, ni mwaka Sasa umepita"
Zikiwa zimebaki siku tatu kuelekea arobaini ya mtoto wa zuchu na Diamond, Densa wa Diamond, Moise Iyobo amemuuliza Diamond amejipangaje kuwalinda watoto wake hawa Wakike ambao tayari anao?
Diamond amesema, hatamani mwanae Tiffa aje Kuishi Tanzania Kwa sababu vijana wame mpania sana kulipiza...
Esma Platnumz ambaye ni dada wa Diamond Platnumz amewatolea uvivu watu wanaoisema vibaya familia yake .
Esma Platnumz amedai kuwa wengi wanaoisema vibaya familia yake huwaga wanatamani kuwa na mahusiano na kaka yake na wengine wanawasaliti mpaka mabwana zao ili wawe na Diamond.
Esma Platnumz...
Msanii maarufu wa Tanzania, Diamond Platnumz, ameonekana kuvutia hisia za mashabiki baada ya kuonyesha ukarimu mkubwa katika sherehe ya siku ya kuzaliwa ya NayaBill.
Katika hafla hiyo, Diamond alionekana akimwaga fedha huku akisherehekea pamoja na wageni wengine, jambo lililozua gumzo na...
Yeap natamani huyu jamaa siku moja asimamishe shughuli zote za jiji la New York na watu waelekee kwenye show yake ya muziki ndani ya ukumbi wa Madison Square garden kwenye viunga vya Downtown Manhattan N.Y. Au mnasemaje wadau?
Godfrey Tumaini, a.k.a. Dudu Baya amefunguka kwa kina akielezea jinsi Majizzo anavyonufaika na Kampeni za CCM huku akiongelea dharau za Diamond na wenzake kwa watanzania tokana na kujaa sifa za kijinga.
Msikilize vema
Anasema yeye Diamond Platinumz, Ommy Dimpoz, Marioo na Jux wanafanya kazi hawapewi pesa za bure.
Amesahau siku chache tu zilizopita walikodiwa ndege binafsi kwenda Nigeria kwenye harusi ya Jux.
Anataka watu wasilalamikie mabaya ya viongozi wao kila awamu. Kwa madai yake watu wana maisha magumu...
Nyota ya mtu inaweza kufifia lakini bado kuna watu wataendelea kuithamini na kuiona ni nyota bora kuliko zote.
Amonaizy Wamataizy ni jina maarufu sana mkoa wa Kigoma hususani wilaya ya Kasulu.
Binafsi nimemfahamu 2009 kipindi nafanya kazi kambi ya shirika la GTZ, ngoma yake ya kwanza inaitwa Ua...
Ndgu wapendwa
Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi...
ahmed ally
ali kamwe
amos makala
anthonmy mavunde
diamondplatinumz
dotto biteko
eng. hersi said
gsm
josephat msukuma
juma aweso
mirlad ayo
mo dewji
paul makonda
proffesional driver
zito kabwe
Leo nilikuwa natazama documentary moja kumhusu huyu king of pop , nikiri jamaa alikuwa anakubalika. Kuanzia New york hadi Moscow. Au Munich mpaka Tokyo jamaa alikuwa akifika kwenye hayo majiji shughuli zilikuwa zinasimama .
Na hapo ni ametua tu na ndege bado haja perform. kama kuna...
Tofauti kubwa iliyopo kati ya Wasanii wa Ulaya/Marekani ni kujua jinsi ya kuvaa kulingana na mazingira. When you're in Rome, live like the Romans.
Hakika Masikini wa Marekani sio sawa na Masikini wa Tanzania, and the same applies to other professions as well.
50 Cent, whose real name is...
Mamlaka ya Mapato Ghana (GRA) imeanza uchunguzi wa mtindo wa maisha wa bilionea Richard Amarh-Quaye baada ya kufanya sherehe ya kifahari ya kuzaliwa yenye iliyogharimu dola milioni 2, ikihusisha safari ya ndege binafsi.
Soma: Baba Levo adai Diamond amelipwa TSh. 2.7 Bilioni kutumbuiza kwenye...
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amewasili Accra, Ghana, kwa ajili ya kutumbuiza kwenye sherehe ya kuzaliwa ya bilionea maarufu wa nchi hiyo, Richard Nii Armah Quaye.
Kwa mujibu wa Baba Levo, Diamond amelipwa kiasi cha shilingi bilioni 2.7 za Kitanzania kwa ajili ya kutumbuiza katika...
Wakuu,
Kwa ujumbe tutegemee kuwa na harusi ya taifa hivi karibuni.
Diamond kafa kaoza kwa Zuchu, huu hapa ujumbe wake kwa mpenzi wake katika siku hii ya Wapendanao
Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhan anamuoa Zuchu.
Soma: Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM
Diamond Platnumz amepinga na Nandy kabisa kuonyesha kuwa...
Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina la msanii lililotokea mara nyingi zaidi.
Soma, Pia: Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.