Magazeti haya yote matatu hutoka kila moja na muda wake, BongoFlava hutoka Mara Moja kwa wiki, Celebrity hutoka Kila baada ya siku mbili na ASUBUHINEWS kwasasa ni Mara Moja kwa wiki. Kampuni binafsi ya C-C Digital Pro ndio huratibu Kila kitu online Chini ya Mkurugenzi na Chief Editor wake...
Congratulations kwa Ubunifu, mzee umeweza tamasha lilianza kama utani mpaka limekuwa la kimataifa aliyekuja na idea ya kumleta cheeks ndiye kamaliza kabisa mpaka wizard ya utalii Kupitia ttb nao wameunga tela Leo nimeona mnaelekea azania bank dah akili nyingi chukua maua yako
Japo umri na mimi umeelekea ila bado kuna mambo mengi sanaa ya nyumbani ina changamoto sana kwa upande wa stejini.
Katika makundi ambayo stejini wameshindwa ni hawa bongo flava kabisa.
Live performance wameshindwa kabisa alafu upande sound engineer hakuna na kupelekea ma dj ndio waongoze mziki...
Diamond Platnumz ni mmoja wa watu waliobeba na kuikuza Bongo Flava mpaka ikavuka mipaka ya Tanzania.
Kwa mchango wake, wengi wanamhesabu miongoni mwa wakongwe wa muziki huu.
Ndiyo maana kutokuwepo kwake kwenye tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava lililofanyika jana kumeibua maswali mengi...
Hii project ilitakiwa kuwa kwa jamii kuridisha shukrani kama wakongwe wa fiesta mkaleta matukio kama kila mlicho fanya,kukumbusha maduka ,watu kampuni.
Hapa naona babu tale na cheo kesho sio mbali mtakuja kulia tukiwazika.
African Princess Records inapenda kuwataarifu rasmi wadau wa muziki, vyombo vya habari, na mashabiki wote kuwa msanii wetu mpendwa Yasirun Yasin Shaban, anayefahamika zaidi kwa jina la kisanii Yammi, amehitimisha rasmi mkataba wa usimamizi wa kazi zake na lebo yetu ya The African Princess Label...
Master J ndio Godfather wa hili game japo yeye hapendagi kabisa hizi debates, anaona zinampotezea muda tu haoni umuhimu wa kuitwa legend wala mambo ya kupewa heshima. inshort hapewi kabisa heshima ya kitu alichokipambania.
hakukuwa na Bongo flava hapo zamani, ilikuwa inaitwa "Muziki wa kufoka...
Great Thinkers
Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania.
1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli never
2. Wana wasanii wao ambao kwa kweli wanaimba vizuri sana kama Elizabeth, kisima, kadochiza...
Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa"
She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake
https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
Uzi mfupi tu kuhusu soko la sanaa Tanzania. Wasanii wetu wa muziki ni muda wa kutoka usingizini sasa na kufanya kazi zinazoenda Duniani kama Wanaija.
Nimeandika huu uzi baada ya kuona kazi mpya ya Asake - WHY LOVE hii imefuatana na kazi mpya ya Diamond Platnumz - Moyo. Ukisikiliza hizo kazi...
Inspector Haroun - Asali wa Moyo
Juma Nature - Dance with Me
Professor Jay - kipi sijasikia
Dully Sykes - Bongo fleva
Ray C - Unanimaliza
Feruz - Ndege mtini
Mwana Fa - Mfalme
Ngwea (Rip) - Nipeni dili
Chege na Temba - mkono moja
Marlaw - Pii pii
AY - Leo remix
Mr Blue - Baki na mimi
TID na...
Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii
Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi kusambaratisha maadili ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kwa kupandikiza vishawishi vya ngono...
Habari zenu waheshimiwa.
Kuna baadhi ya nyimbo nimekuwa nikizitafuta kwa takribani miaka kumi sasa. Nimejaribu kukomenti kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya wasanii husika lakini hawaonyeshi kuwa na msaada. Mwenye nyimbo zifuatazo naomba atume tafadhali.
Vyovyote Vile - Ray C (kutoka...
Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar.
Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo fleva zinazovunja maadaili ya Watu wa Zanzibar.
Soma Pia:
Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika...
Legend wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu TID, amefunguka kuhusu majuto aliyoyapata akiwa msanii. Akizungumza kwenye mahojiano na My Reply Show, TID ameeleza kwamba kitendo cha baadhi ya vituo vya Redio kuzuia kucheza nyimbo zake kwa zaidi ya miaka mitano na kukosa matamasha yao amekiri kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.