Sikiliza wimbo wa Rosa Ree ambao Harmonize alitumia beat yake bila ruhusa na kusababisha Rosa kumshtaki

Status
Not open for further replies.

Udakuz

Member
Feb 4, 2013
85
51
Sikiliza Wimbo wa Rosa Ree Ambao Harmonize Alitumia Beat Yake Bila Ruhusa na Kusababisha Rosa Kumshtaki youtube, Harmonize siku ya jana alipandisha wimbo katika Youtube channel yake wimbo wa Amen ambao ametumia beat ya wimbo wa Kanyor Aleng wa Rosa Ree Bila Ruhusa.

Asubuhi ya leo wimbo huo ukaonekana kwamba umefutwa youtube baada ya Rosa Ree Kushtaki Youtube, Hii inaonesha Harmonize Aliamua kutumia Beat hiyo bila mawasiliano na Mwenye Beat yake kitu ambacho kwa Harmonize kimekuwa kitu kinachojirudia kwani hata wimbo wa Uno Inasemekana ulikuwa na vionjo vya beat ya Producer Magix Enga kutoka kenya

Usikilize Hapa >>

huyu dogo asipotuliza akili atayumba sana, mtu anajua taratibu za hakimiliki bt kila uchao anarudia makosa yale yale, mbona boss wake wa zamani anatumia beat za watu na hakuna mgongano? aache ushamba wa kimakonde utamgharimu.
 
Hawa ndo wabongo halisi..
 
Nilitaka nishangae beat KAli ile harmonize kaitoa wapi?.
Hyo beat ni KAli Kinomaaa.
 
Hawa ndo wabongo halisi..
pancho boy Sio suala la mbongo Bali Kuna tatizo kubwa Sana kwenye uongozi wa harmonize pamoja na harmonize mwenyewe kwenye kujua masuala ya copy right pamoja na baadhi ya ngoma zake kufutwa kwenye mtandao wa audiomack kwa sababu ya kucopy Melody na verse za nyimbo nyingine bila ridhaa yao lakini still ajajifunza ipo siku yatamkuta makubwa akiendelea hii tabia.
yuzazifu
 
OK powa
 
Yani anaiba chakula anapeleka msibani, shauri yake asipojiangalia watamfutia channel yake YouTube 🏃🏃🏃
 
Biti inamilikiwa na producer msanii unakodishwa kuitumia,mwengine akitaka anapewa,Rosa Ree hatakiwi kulalamika producer ndiye anatakiwa kulalamika.

Kibongo bongo msanii ana amini biti ni mali yake.

Ila Harmonize hii ni case ya tatu wa kwanza Magix Enga,wa pili Simple the boy huyu watatu awe makini kuna siku atakutana na watu wanaoijua sheria watamfilisi.

Kutumia kazi ya watu sio kosa cha msingi kufuata utaratibu,ila kutumia kazi ya watu bila kufuata utaratibu ndipo matatizo yanapo anzia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom