Recent content by Veyron

 1. Veyron

  Kwanini customer care ya mwanaume ni bora zaidi kuliko ya mwanamke?

  Hahahah Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 2. Veyron

  Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Dar es Salaam

  Ilala vipi mbona hampaongelei.?
 3. Veyron

  Msaada, nahitaji chumba cha kupanga Dar es Salaam

  Nina 60000..ntapata?
 4. Veyron

  Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

  Mi mwenyewe namuona bado mdogo sana
 5. Veyron

  Jinsi ya ku download WhatsApp kwenye Window Phone

  Yani watsup haipo tena kwenye lumia ? Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Veyron

  Tundu Lissu umeamini Jeshi la Polisi lisipoingiliwa linafanya kazi

  Sawa Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Veyron

  Makundi ya watalii kutoka Israel yaanza kuwasili nchini kwa mapumziko ya mwaka mpya, aibarikie Israel atabarikiwa!

  Tuliofika ISRAEL tunaendelea kusoma maoni yenu Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Veyron

  Kigezo cha kwanza kwa mtu anayewania urais awe na shahada ya uchumi

  Nimekubaliana na mawazo yenu wote, Naona logic yangu imekataliwa 100% . Possibly something wrong within my thoughts. Nashukuru 100% ya waliopinga mmepinga kwa hoja zenye ukweli. Blessed J.F
 9. Veyron

  Kigezo cha kwanza kwa mtu anayewania urais awe na shahada ya uchumi

  Habari zenu wakuu. Poleni na majukumu. Hapa nilikuwa nimekaa tu natafakari mambo kadhaa ambapo niliangali tangu mwanzo wa awamu wa tatu mpaka hapa tulipo, huku nikichambua mambo kinagaubaga kwenye baadhi ya sera za viongozi wetu. Nilijaribu kuangalia mafanikio na mapungufu ya awamu ambazo...
 10. Veyron

  Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

  Yaani niko discouraged sana na mafundi wa hapa mjini .sijawahi kumpata fundi wa printer akafanya kazi 100% ikafaa.Nina mashine yangu Ricoh mpaka Leo nimeiweka mafundi zaidi ya watatu wanakuja nawalipa lakini mwisho wa siku sipati solution zaidi ya kupoteza pesa Ndo maana nilivyoona umeongea...
Top Bottom